Elections 2010 Kwanini Dr. Slaa anawakosesha raha?

Mwanakijiji,

Ni rahisi sana kwa mtoto kuchezea matiti ya mama yake, lakini si rahisi kuchezea korodani za Baba yake. Kipindi hiki CCM imeshikwa pabaya. Inashindwa kupumua, taratibu inakata roho. Tarehe 31.10.10 tunaipeleka makaburini na kuizika.


Du hii umesema kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
 
its only 3 days countdown!:A S angry::smile-big::doh:
 

Kuna kipindi fulani huyu Maharage Chande alikaa sana gerezani Ukonga au Segerea, hivi alihusishwa na kesi gani vile kwani ni muda kidogo na nimesahau kisa chote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…