Kwanini drone za Iran ni ngumu kuonekana kwenye rada

Morogoro kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2020
Posts
2,392
Reaction score
9,187
Nimekuwa nikijiuliza swali kwa muda. Drone za Iran zimefanikiwa kuingia saudia bila kugundulika kwenye rada kila siku zinapita katikati ya aircraft carries za Marekani na kupiga picha muhimu kisha kuondoka bila kugundulika yaan mimi nakosaga majibu kabisa
 
Hata sisi tuna teknolojia ya kukimbia na mabox ya kura,imeshakua patented mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Daaahhh, kila mtu anakula kiaina yake mkuu
 
Kwasababu wanazitengeneza huku wakiwa na njaa. Kwasababu sasa hivi kula milo mi3 Iran ni anasa
 
Reactions: PNC

Mifumo ya miundo ya droni na teknolojia iliyo tumia imeweza kuzibiti ule ukalili wa wave kwenye rada ambapo wave za ndege, kulingana na muundo pamoja na injini inavoweza kukabili mabadiliko wa wave kuwa tofauti na yale yanayo onekana kwenye setting za rada
 
"Mkuu una uhakika gani na hili hadi useme kila siku".
 
Imejulikana kuwa huu ni uongo.

Kwanza speed zake zinazidiwa na Basi la Tilisho
 
Iran wanamwabudu sana Mwenyezi Mungu hivyo drones zao sio rahisi zionekane kwenye rada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…