Kwanini Dubai magari ni bei rahisi kushinda kwingine?

Kwanini Dubai magari ni bei rahisi kushinda kwingine?

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
25,874
Reaction score
36,030
Nmefuatilia site nyingi za kuuza magari, nmegundua magari ya Dubai ni mazuri, yana kilometa chache, body safi ila bei ni ndogo kulinganisha na sehemu kama be foward.

Shida inakuwa nini?
 
Kununua gari used Dubai Au Singapore ni kutupa pesa yako, gari zao jamaa zimepambwa sana Kwa nje, zipo Poa sana lakini ndani ni Vimeo.
The only country to buy used cars ni japan ambalo serikali inatia mkono wake kusimamia ubora, inspection inafanywa Kwa kuzingatia vigezo vyote Mhimu.
 
Nina rafiki yangu huko yaani nasububiria itimie ela ya custum tu niagizie Mazda CX5 Mnyama kutoka Dubai[emoji3][emoji23]
 
Back
Top Bottom