Kwanini EA Radio na Clouds Fm bado wanatangaza Diamond Karanga?

Kwanini EA Radio na Clouds Fm bado wanatangaza Diamond Karanga?

Tz hatuna redio presenter wenye uelewa na waliosomea kazi hizo. Tunayo mapoyoyo tu. B12 na Adam baada ya kufeli form 4 wakapata shavu clouds FM. B12 aliaanza arusha. Huyo dulla ndiyo kimeo sana tu.

Bado tuna safari ndefu sana. Kinachowauma ni wao kuendelea kuwa maskini huku Diamond akichanua.
Huwa nashangaa sana mwanaume anapotumia wivu kumuharibia MTU. Media na wadau wa muziki hawakujiandaa kuwa na msanii Mkubwa..wanataka wanyenyekewe kila siku..yaani diamond akienda MTV kuperporm na wenyewe wapewe tickets ndiyo wafurahi.

Yule Ruge anajionaga akili kubwa but hamna kitu..ana wivu wa kitoto sana.
B12 alikomea form six mkuu
 
SINA UHAKIKA KAMA WCB WANA BIFU KWELI NA HIVI VITUO AU NI MITANDAO TU INAZUSHA SABABU MBONA KINA SOUDY BROWN WANAENDAGA OFISI ZA WCB BILA TATIZO? NA MPAKA LEO SIJAWAHI KUSIKIA HATA UPANDE MMOJA UKIKIRI KWAMBA WANA BIFU.ILA WIKI ILIYOPITA KWENYE KIPINDI CHA SHILAWADU SOUDY BROWN ALISEMA HAWANA BIFU NA MTU NA WALA HAWANA TEAM NA NDIO SABABU KWENYE HARUSI YA SHILOLE WALIMFUATA HARMONIZE NA DIAMOND KUWAHOJI.
Hao ni mashapenga tu,
 
East Africa radio wamegoma kucheza nyimbo za WCB lakini Leo hii nimewasikia wakipeperusha tangazo la Diamond Platnumz la Diamond Karanga huku wakilipa promo kubwa sana..

Pia na Clouds Fm radio wanalipeperusha sana tangazo hilo.

Watangazaji wa radio kama akina Dullah ndio wanarudisha muziki nyuma kwani wanapenda kuabudiwa pia na akina Adamu Mchomvu na B-Dozen.

We Dullah wa East Africa radio punguza ushamba maana ushazeeka.

Si wanalipwa pesa?
 
Kwanza ujue karanga c zake na zinalipa bill ya kuwa promoted...kusaga mwenye clouds ndo mwenye karanga hizo sema hapo kuna agreement kat yake na mond... Last kusaga tajiri sana sema atak tujue
Ukiambiwa usibitishe iko unachokisema itawezekana....?
 
naona mapopompo mnafarijiana.....
clouds itabaki kua radio kubwa tz
eatv itabakia kua tv kubwa tz

Tafteni hela sio kilasiku mnamsifia mwanaume mwenzenu.... daily mondi anaonewa sjui wivu pumbavu!!!

kama yeye ni mkubwa kuliko media bas kausheni.... kelele za nn?
 
Mbona POVU mkuu tukuletee nguo nn ufulie
 
Ndio Ma great Sinker hawa wa jamii forums hahahaa yaani anashangaa kwanini Clouds/Ea Radio wanaendelea kupiga Tangazo la Diamond Karanga Daaaa ELIMU ELIMU ELIMU.
 
Hizo karanga sio za Diamond, ni biashara ya mtu mwingine. Domo alilipwa pesa ili jamaa atumie jina lake tuu
 
Achana nakituu inaitwa pesaa
Pesa ili muzaa mpendwa wetu Yesu
Pesa inaweza kumpeleka mbowe kule lumumba
Pesa haiwekewi beff
Tafuta pesa mkuu achana nahizo propaganda.
 
Kwanza ujue karanga c zake na zinalipa bill ya kuwa promoted...kusaga mwenye clouds ndo mwenye karanga hizo sema hapo kuna agreement kat yake na mond... Last kusaga tajiri sana sema atak tujue
Izi taarifa huwa watu wanatoa WAP??

Au mimi ndo nipo nyuma saan nini?
 
Watu mnajua kupotosha, mara karanga si zake wakiulizwa za nani wengine wanasema za Kusaga wengine wanasema za wahindi wale wa Smart Duh yani hakuna mwenye vivid evidence ya kusema hizi ni za Fulani
Karanga ni za smart hata kwenye pakiti wameandika, sasa kama hujui smart ni ya nani hilo sio swala langu
 
Tz hatuna redio presenter wenye uelewa na waliosomea kazi hizo. Tunayo mapoyoyo tu. B12 na Adam baada ya kufeli form 4 wakapata shavu clouds FM. B12 aliaanza arusha. Huyo dulla ndiyo kimeo sana tu.

Bado tuna safari ndefu sana. Kinachowauma ni wao kuendelea kuwa maskini huku Diamond akichanua.
Huwa nashangaa sana mwanaume anapotumia wivu kumuharibia MTU. Media na wadau wa muziki hawakujiandaa kuwa na msanii Mkubwa..wanataka wanyenyekewe kila siku..yaani diamond akienda MTV kuperporm na wenyewe wapewe tickets ndiyo wafurahi.

Yule Ruge anajionaga akili kubwa but hamna kitu..ana wivu wa kitoto sana.
Wewe pia unaonekana kuwa na wivu wa kitoto kwa Ruge,

Kubali tu bwana Ruge yupo smart sana.
 
Tangazo sio bure mate
tangazo linalipiwa na ukilipia lazima utangaze
Mleta uzi huenda matangazo hua yanafanywa bure radioni,tumsaidieni kumwelewesha,ila kua jf nina uhakika hatatoka bure,atajifunza mengi,jf ni kisima ati
 
Back
Top Bottom