Kwanini Ebola? Ikulu ya Marekani yasema Tanzania kushindwa kutoa taarifa za Ebola ni moja ya sababu ya zuio la waTz kupata viza ya Marekani

Sisi magonjwa mengi yanatupita juu kwa juu, hatujawahi kuwa na zika, ebola na huyu corona virus atakaemtaja mgojwa hata kama yupo cha moto atakipata. Mnataka watalii waache kwenda Rubondo!
Hutaki nije?
 
Kwahiyo walitaka tukubali kuwa tuna ebola ndio waturuhusu kwenda huko marikani???

Naona kongo wana ebola na hawajapigwa ban.

Nazidi kuamini kuwa jamaa kasi yetu ya maendeleo inawashtua, waeona kuna ka mwanga flani kanataka kuonekana wanataka kukazima.
 
Ninachokijua mimi ni kwamba USA hawawezi kukurupuka na kuionea Tanzania!
Basi huijui USA Kama waliweza kumvamia SADAM na kuiharibu nchi yake kwa kusema kuna silaha za maangamizi ambazo hazipo kwa nini ashindwe kwetu.
Fuatilia ni nchi ngapi ambazo makampuni yao yalibanwa kwa unyonyaji na nchi hizo zikatengenezewa Zengwe.
Kama kuna mtu anahisi anapendwa na USA lazima huyo mtu uelewa wake wa mambo ni mdogo Sana au amekua brainwashed kupitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…