Slow pancha
Senior Member
- Mar 16, 2013
- 182
- 121
Hutaki nije?Sisi magonjwa mengi yanatupita juu kwa juu, hatujawahi kuwa na zika, ebola na huyu corona virus atakaemtaja mgojwa hata kama yupo cha moto atakipata. Mnataka watalii waache kwenda Rubondo!