kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
Hey American tell me " what do you gain from my death"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sawa. Lakini kuna watu wana mipango hio. Usijiongelee binafsi. Fikiria ba wengineWazuie tu kwanza sioni umuhimu sanaa wakwenda huko marekani
I do not understand what you are talking about.Hey American tell me " what do you gain from my death"
kitu nikielewa Mimi tu "inatosha"I do not understand what you are talking about.
Kuna kitu US anakipanga ndani ya ardhi yenye udongo wenye Vito vya thamani...lakini anashindwa kuingia moja kwa moja kukamilisha mpango wake anajaribu kuidanganya dunia....kisha avamie na kuvuruga kila kitu maana sababu zake hazieleweki kabisa.
Kweli,unashangaa wanakosa sababu moja ya kueleweka Mara Ebola Mara sijui kushare taarifa unaona kabisa kuna kitu hapa kimeshapangwa....wanataka kutuvuruga kama Congo...ajabu kuna watanzania wanafurahia hawaangalii madhara kwa nchi zilizoharibiwa na US.kila mtu anajua hujuma za trump, alianza na china ila kwa kua china sio wanyonge na wenyewe wakakaza baada ya kuona uchumi unayumba ndo anaanza urafiki tena na china, ndo maana wanawatumia upinzani sana! unakuta kakitu kadogo tu wanakifanya kionekane tanzania ni nchi mbbaya, hatuyumbishwi
WaTz USA Tupo wengi tu ndugu. Mimi naishi San Diego iliopo Southern California, na hapa tu ni mamia ya WaTz ninaowajua mimi. Bado kuna Los angeles, Riverside nk. Bado kuna majiji kama Houston, TX na ATL, Georgia ambapo kuna maeneo ni wabongo tupu wana restaurant zao za ugali, night clubs zao nk. Kwa hio ni community kubwa. Na tunatuma $$$ Tz na kuwekeza pia. Kwa hio uwepo wetu huku unatufunza mengi kupitia exposure, tunashika $$$, na kuwekeza home. Japo nyumbani ni nyumbani tu, na huku tuko ugenini kwa hio tunaelewa hilo.Natamani kujua, je watanzania wangapi huwa wanakwenda 'kuzururazurura' huko kwa Trump kwa mwaka? Hizi chengachenga hizi!!!! Tawezekana kunafungwa na kupoteza hii game ya 'vita ya kiuchumi'.
Mbona waTz USA wapo wengi tu? Hata wewe najua kuna ndugu au rafiki unawafahamu wanaoishi au kusoma USA. Halafu mpumbavu mwenyewe kabisa. Ndio umeaumua kutukana watu? Mimi sipendi washenzi kama nyie hamuwezi post kitu pasipo kutukana. Utakufa maskini na ujinga wako. Bwege mkubwa wewe.Watu mnashangilia kuzuiwa kwenda Marekan utazan hata huwa mnaenda!! Au mshawahi kwenda!!
Umasikin kitu kibaya sana
Nani aliwambia ebola inafichwa? Mbona mwakua wapumbafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni conspiracy theories ndugy zangu. Hazina faida yeyote katika maisha zaidi ya kufanya watu kujiona ni victims tu siku zote.Kuna kitu US anakipanga ndani ya ardhi yenye udongo wenye Vito vya thamani...lakini anashindwa kuingia moja kwa moja kukamilisha mpango wake anajaribu kuidanganya dunia....kisha avamie na kuvuruga kila kitu maana sababu zake hazieleweki kabisa.
Tupambane sana kuchapa kazu na tuombe Mungu kwa kweli kwamba tusiyumbishwe na tusimame imara huku watz maisha yanakuwa mazuri kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo, kiafya, kijamii, nk.kila mtu anajua hujuma za trump, alianza na china ila kwa kua china sio wanyonge na wenyewe wakakaza baada ya kuona uchumi unayumba ndo anaanza urafiki tena na china, ndo maana wanawatumia upinzani sana! unakuta kakitu kadogo tu wanakifanya kionekane tanzania ni nchi mbbaya, hatuyumbishwi
Hapa nadhani kuna kitu cha ziada kinatafutwa maana sababu zinazidi kuongezeka kila siku
Jr[emoji7
Exactly,lkn watu wa chama kama wanataka kutuaminisha sababu fulani ambayo haipo kabisaHapa nadhani kuna kitu cha ziada kinatafutwa maana sababu zinazidi kuongezeka kila siku
Jr[emoji769]
Huyu jamaa anaona Rais wetu yupo serious na anachokifanya naanaona kuna kitu kinachomnyima nafasi ya kufanya maamuzi yake kama nchi zingineHatimaye Ikulu ya Marekani imetoa taarifa rasmi ya sababu za kuweka zuio kwa WaTanzania kusafiri kwenda Marekani. Zuio hilo lilitangazwa tarehe 31 January 2020 ambapo nchi 4 za Africa za Tanzania, Nigeria, Eritrea, na Sudan ziliwekewa zuio hilo. Kwa taarifa kamili soma ripoti inayosema "Proclamation on improving enhanced vetting capabilities and processes for detecting attempted entry" katika tovuti ya Ikulu ya Marekani (WhiteHouse.gov).
Naambatanisha baadhi ya maneno katika ripoti hio.
Swali: Hivi ni kweli Tanzania kulikuwa na Ebola na serikali yetu ikashindwa kushirikiana na nchi nyingine katika hilo? Mbona mimi sina habari hizo? Wenye habari kamili naomba mtujuze sababu kwa wengine hili suala ni kama giza tu na inaonekana tumeonewa kuwekwa katika orodha hio fupi ya nchi 6 zilizowekewa zuio hilo.
View attachment 1350277
Proclamation on Improving Enhanced Vetting Capabilities and Processes for Detecting Attempted Entry
(g) Tanzania
(i) Tanzania does not comply with the established identity-management and information-sharing criteria assessed by the performance metrics. Tanzania does not adequately share several types of information, including public-safety and terrorism-related information, that is necessary for the protection of the national security and public safety of the United States.
The Government of Tanzania’s significant failures to adequately share information with the United States and other countries about possible Ebola cases in its territory detract from my confidence in its ability to resolve these deficiencies. Tanzania also presents an elevated risk, relative to other countries in the world, of terrorist travel to the United States.
Tanzania does, however, issue electronic passports for all major passport classes, reports lost and stolen travel documents to INTERPOL at least once a month, and has provided exemplars of its current passports to the United States. Further, Tanzania does share some information with the United States, although its processes can be slow, overly bureaucratic, and complicated by limited technical capability.
In light of these considerations, different travel restrictions are warranted.
(ii) The entry into the United States of nationals of Tanzania as Diversity Immigrants, as described in section 203(c) of the INA, 8 U.S.C. 1153(c), is hereby suspended.
![]()
Proclamation on Improving Enhanced Vetting Capabilities and Processes for Detecting Attempted Entry | The White House
In Executive Order 13780 of March 6, 2017 (Protecting the Nation from Foreign Terrorist Entry Into the United States), I temporarily suspended entry of natwww.whitehouse.gov