Kwanini energy drink na paracetamol au panadol!

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
Niipi siri ya kutumia Energy drinks na Paracetamol, Kwa lengo la ku boost nguvu za kiume.....??

↳Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana hili swala la vijana kutumia Energy drinks + Paracetamol, Nimekuja na Majibu kamili.....

↳Yale maswali yako yote, Majibu yake yapo katika elimu hii nimekuandalia.....

↳Kabla sijakufichulia siri hii wacha nikupitishe kidogo kwenye swala la nguvu za kiume...

Hivi ni vyanzo vikuu vya upungufu upungufu wa nguvu za kiume.

✓Upungufu wa homoni ya testosterone.
✓Kulegea kwa misuli ya uume.
✓Kuziba kwa mishipa damu.
✓ Saikolojia yako.

↳Vyote vinatibika kwa kula lishe bora na Mazoezi na Ushauri wa kisaikolojia nasio kutumia (Energy drinks + Paracetamol) au madawa ya nguvu za kiume.

IPO HIVI.....

↳Energy drink na Panadol sio dawa ya kuongeza Nguvu za kiume,Viagra na Mkongo sio dawa ya kumridhisha mwanamke.

↳Matumizi ya vitu hivi hufanya mzunguko wa damu uwe mkubwa,presha inaongezeka athari zake ni Matatizo katika moyo na hata Udhaifu na kupoteza hata ule uwezo modogo ulio nao (Sex performanc)

↳Kama sio wewe basi fahamu ya kwamba kuna watu huko walipo sasa hivi wanajutia kutumia dawa za Booster, kuongeza uume au kuongeza nguvu za kiume.

USHAURI WA BURE...

↳Epuka Madawa ya nguvu za kiume na virutubisho vya kusindikwa, sikuhizi vinauzwa sana mitaani...

↳Tafuta Chanzo cha tatizo kwani nguvu za kiume sio ugonjwa na zipo ndani yako, Muda mwingine niswala la kisaikolojia Tu...Huna haja ya kumeza Tembe ya aina yeyote ile....🫵
 
Paracetamol inakutia ganzi. Energy inakuongezea nguvu.

Wache wapambanie na kufia walipotokea.
 
Kuna mda Mungu sio kazi yake ni kazi zetu zina makosa.
Kusema kazi ya mungu haina makosa wakati mwenye kosa ni wewe.
 
Wale waliotumia huo mchanganyiko naomba wato ushuhuda kwamba inasaidia au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…