Kwanini Engine Placement ya magari mengi ipo mbele?

Kwanini Engine Placement ya magari mengi ipo mbele?

Focus120

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
1,089
Reaction score
793
Habari JF

Kichwa cha Habari kisomeke Kwanini Engine Placement ya magari mengi IPO mbele?

Naileta hii mada tujadili kwanini injini nyingi za magari yetu hususani za kijapani zipo mbele? Kuanzia Sedans.. Saloons, Hatchbacks na SUV's

Je ni utaratibu uliokubalika "ki injinia" iwe hivyo au kuna sababu maalumu.

Naelewa yapo baadhi ya magari "Super cars" zenye engine kwa nyuma mfano: Ferrari, Lamborghini etc.

Wenye uzoefu. Tupeane elimu kidogo.

Nawasilisha.

Screenshot_20200406-213922.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan ulimaanisha engine+gearbox+diff kuwa mbele. Acha nijaribu kujibu kwa elimu yangu ya certificate..... Ili gari liwe na ufanisi barabarani inatakiwa upatikane msuguano wa kutosha kati ya tairi na ardhi ili 1. Gari liweze kusogea/kutembea 2. Gari iweze kusimama (brake) 3. Gari iweze kukata kona. Sasa mfumo wa engine mbele lengo ni kuweka uzito ili tairi ziweze kukamata ardhi sawasawa ili kupata ufanisi niliotaja hapo juu pia unaposhika brake 75% ya uzito wa gari unaenda mbele (weight transference) kama umefuatilia utagundua dereva anaposimamisha gari huwa linainamia mbele so ufanisi mzuri wa brake unategemea msuguano mzuri Kati ya tairi za mbele na ardhi

Engine ya mbele ni rahisi kupooza hata kwa Grill ya mbele. Na la Pili gari za kisasa zote zinatumia Frontwheel drive, kwa hio unapunguza Energylossna hata Materials kama Engine na Driving wheels ziko pamoja. Kama kuna wanaokumbuka miaka ya 80 gari nyingi za Kijerumani zilikuwa zinatumia Engine ya nyuma, lakini ilikuwa kwenye za joto kama Tanzania nyingi zikiwaka moto kutokana na kutopata cooling ya kutosha.
Usipende Vyura mzee, Engine ni mbele sio nyuma ndio Maumbile😀😀
Mbele ndio kwa kuingizia tu (nakusudia upepo - Aerodinamic) na nyuma maumbile yake ni kutolea tu
 
Back
Top Bottom