Kwanini estimated shipping fee ni kubwa kuliko item subtotal

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Hello wana Jf habari za wakati huu sikuyajana nimejaribu kupitia katika app ya alibaba na nikaanza kujaribu kuagiza kamzogo lakini changamoto niliyokutana nayo ilikuwa ni estimated shipping fee kuwa juu sana ilifikia 6000000 na item subtotal ikiwa ni 200000 kwa pieces 50 @4000/piece
Naomba kuelewesha jinsi ya kutatua hilo jambo kama kuna utatuzi wake
 
Achana na shipping fees za alibaba tumia shipping agent utapewa gharama ya usafirishaji kulingana na njia utakayotumia kama utatumia meli gharama ya usafirishaji utaipata kwa CBM na kwa ndege ni kilogram
 
Nawapataje hao shipping agent na ninawaconnect vipi na seller ninae chukua mzigo kwake
 
Kwenye

Nenda sehemu ya message wasiliana na seller baada ya kuhakiki bidhaa unayoitaka seller atakurushia payment link na atakwambia una agent china kama upo nae utamrushia address ya agent wako
Shipping agent company zipo nyingi mfano silent ocean, yooneq cargo na wengineo

Kuwa makini man alibaba kuna matapeli kama huna uelewa vizuri utatapeliwa hakikisha unapata elimu ya kutosha kabla hujafanya malipo
 
Dawa ali express alibaba naonaga wengi kieyushi ila ali express iko vzuri
 
Kwenye

Nenda sehemu ya message wasiliana na seller baada ya kuhakiki bidhaa unayoitaka seller atakurushia payment link na atakwambia una agent china kama upo nae utamrushia address ya agent wako
Shipping agent company zipo nyingi mfano silent ocean, yooneq cargo na wengineo

Kuwa makini man alibaba kuna matapeli kama huna uelewa vizuri utatapeliwa hakikisha unapata elimu ya kutosha kabla hujafanya malipo
Okay, nimekuelewa
 
Hello wana Jf habari za wakati huu sikuyajana nimejaribu kupitia katika app ya alibaba na nikaanza kujaribu kuagiza kamzogo lakini changamoto niliyokutana nayo ilikuwa ni estimated shipping fee kuwa juu sana ilifikia 6000000 na item subtotal ikiwa ni 200000 kwa pieces 50 @4000/piece
Naomba kuelewesha jinsi ya kutatua hilo jambo kama kuna utatuzi wake
Shipping agent unamtafuta wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom