Nawapataje hao shipping agent na ninawaconnect vipi na seller ninae chukua mzigo kwakeAchana na shipping fees za alibaba tumia shipping agent utapewa gharama ya usafirishaji kulingana na njia utakayotumia kama utatumia meli gharama ya usafirishaji utaipata kwa CBM na kwa ndege ni kilogram
KwenyeNawapataje hao shipping agent na ninawaconnect vipi na seller ninae chukua mzigo kwake
Nenda sehemu ya message wasiliana na seller baada ya kuhakiki bidhaa unayoitaka seller atakurushia payment link na atakwambia una agent china kama upo nae utamrushia address ya agent wakoNawapataje hao shipping agent na ninawaconnect vipi na seller ninae chukua mzigo kwake
Dawa ali express alibaba naonaga wengi kieyushi ila ali express iko vzuriKwenye
Nenda sehemu ya message wasiliana na seller baada ya kuhakiki bidhaa unayoitaka seller atakurushia payment link na atakwambia una agent china kama upo nae utamrushia address ya agent wako
Shipping agent company zipo nyingi mfano silent ocean, yooneq cargo na wengineo
Kuwa makini man alibaba kuna matapeli kama huna uelewa vizuri utatapeliwa hakikisha unapata elimu ya kutosha kabla hujafanya malipo
Okay, nimekuelewaKwenye

Dawa ali express alibaba naonaga wengi kieyushi ila ali express iko vzuri
Shipping agent unamtafuta wewe mwenyeweHello wana Jf habari za wakati huu sikuyajana nimejaribu kupitia katika app ya alibaba na nikaanza kujaribu kuagiza kamzogo lakini changamoto niliyokutana nayo ilikuwa ni estimated shipping fee kuwa juu sana ilifikia 6000000 na item subtotal ikiwa ni 200000 kwa pieces 50 @4000/piece
Naomba kuelewesha jinsi ya kutatua hilo jambo kama kuna utatuzi wake