GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mwalimu wako wa historia amepotoka, akakupotosha na wewe.Mwalimu wa Historia alitumbua kuwa chanzo kimojawapo cha udumavu wa bara la Afrika kimaendeleo ni ukoloni wa Kimagharibi!
Lakini pia alitufundisha kuwa Ethiopia haikutawaliwa na Wazungu. Labda ndiyo maana Waafrika walipachagua pawe makao makuu ya AU?
Lakini nilisahau kumwuliza kuwa ikiwa Ethiopia haikutawaliwa na wageni, kwa nini siyo super power alau barani Afrika?
Kuna anayeweza kunisaidia jibu?
Political instabilityPoint ni zile zile tu
Poor infrastructure
Poor capital
Poor gvt support
Poor labor force
Poor technology
Ongezea,,,,
Ile inayokimbiliwa na Waafrika wengi, lakini ni super power Afrika na si ulimwenguni!Nchi gani Africa ni superpower?
Umemaliza mkuuKuendelea au kutoendelea kwa mwafrika hakuhusiani na mzungu. Ni viongozi wa afrika tu wanatumiaka hicho kichaka kukwepa uwajibikaji.
Kutoendelea kwa Afrika sababu kuu ni Rushwa na kukosa akili kwa viongozi na wananchi wa Afrika full stop
south africa... u super power wao africa ni nini?Ile inayokimbiliwa na Waafrika wengi, lakini ni super power Afrika na si ulimwenguni!
Ewaaa,,,, nyingine land alienation,,,,Political instability
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Iweke vizuri mkuu sema poor geagraphical condition πππHaijawahi kuwa na viongozi kuifanya super power, jiografia mbovu,
Kumi? Mbona ushazitaja nyingi?Ewaaa,,,, nyingine land alienation,,,,
Ongeza ongeza zifike kumi
Nilikuwa mpenzi wa somo la Historia lakini Mwalimu hakutufundisha hii point!πWewe umeitoa wapi? Hebu elezea kidogo, usije ukawa unatulisha point ambazo hazipo kwenye syllabus!Iweke vizuri mkuu sema poor geagraphical condition πππ
πππππ Essay iliyoshiba ni point nane mbili za nyongeza eti cattle consfication hii kitu inanikumbusha mbali sanaKumi? Mbona ushazitaja nyingi?
Acha niongezes na hii:
CATTLE CONFISCATION!
Au unataka na maelezo? Nafikiri ilikuwa ni topic ya form 2, if I have not mistaken!
ππππ Hiyo ipo mkuu Ethiopia ni semi arid haipati mvua za kutosha kwahiyo mazao hayastawi na ukame hivyo haiwezi kuwa super power au wataka nijazie na mifano?Nilikuwa mpenzi wa somo la Historia lakini Mwalimu hakutufundisha hii point!πWewe umeitoa wapi? Hebu elezea kidogo, usije ukawa unatulisha point ambazo hazipo kwenye syllabus!
Poor Political PoliciesPoint ni zile zile tu
Poor infrastructure
Poor capital
Poor gvt support
Poor labor force
Poor technology
Ongezea,,,,
Ok! Sawa mkuu! Sijui tuingie kwenye ubishi?ππππ Hiyo ipo mkuu Ethiopia ni semi arid haipati mvua za kutosha kwahiyo mazao hayastawi na ukame hivyo haiwezi kuwa super power au wataka nijazie na mifano?
neno ukolon lina maana nyingi si tu mzungu kumcorony mwafrica ht wa africa sie kwa sie tuna coroniana mfano super power family 1 inaingia madarakan inapga wanajinufaisha wao tu watu wengine wanaptia hal ngum ya uchum mfano kenya familia ya uhuru inamilik ardh karbia robo nzima ya nchi hat nchi za ulay ukienda ma3ndeleo ni ya vitu sana ila raia wapo chal na wengine wananufaik zaid wa kweny systeqm mfano familia za kifalme au powerful family mwaka juz waingerez weng walipg kula mfumo wa kifalme uondoshwe hawautak vitu km ivo pia hat hap africa au ethiopia unaona ajanyonya mkolon ila kuna wajanja wamenyonya wenzao kias unakut mapigano hayaish na hal dun vle vile hat waliotawaliw weng wamerejshew madarak miak ming lakn hal unakut bado iko vle vle au imezid pale adui mkubw wa maendeleo ni rushwa kushinda hat mkolon kwakua ukosesha usaw na kulet upendeleo ndioman china waliweka shelia kal rushwa wiz wa mal ya umabni kunyongwa ndioman uchum wake umepaa ghafla nae alitawaliw na mjapan kumbuka ila saiv ana uwezo kumpita mjapan aliomtawalaMwalimu wa Historia alitumbua kuwa chanzo kimojawapo cha udumavu wa bara la Afrika kimaendeleo ni ukoloni wa Kimagharibi!
Lakini pia alitufundisha kuwa Ethiopia haikutawaliwa na Wazungu. Labda ndiyo maana Waafrika walipachagua pawe makao makuu ya AU?
Lakini nilisahau kumwuliza kuwa ikiwa Ethiopia haikutawaliwa na wageni, kwa nini siyo super power alau barani Afrika?
Kuna anayeweza kunisaidia jibu?