Kwanini Ethiopia haijawa Super Power ya Afrika?

Afrika ni bara pekee linalokaliwa na wanyama wanaofanana sana na binadamu ndiyo maana ''viongozi " wake hawana akili zaidi ya kufikiria wizi tu halafu hicho wanachoiba wanaenda kukificha kwa Wazungu wanaodai ni watu wabaya.
 
Hapo jibu ni moja tu "poor leadership"
 
Swali zuri hili. Umaskini wa Africa haukusababishwa na wakoloni kama baadhi ya waafrika wanavyodai. In fact tulipaswa kuwaacha wakoloni watawale hadi 1990's au hata mida hii!

Ukiangalia Namibia na South Africa zilizopata uhuru 1990 na 1994 zina maendeleo kuliko zile nchi zilizopata uhuru 1960's.

Kumbe kuna sababu za msingi kwanini Ethiopia na mataifa mengine ya Afrika hayajaweza kuwa na uchumi mzuri hata baada ya miaka mingi ya kujitawala:

1. Uongozi mbovu
2. Vita ya wenyewe kwa wenyewe
3. Siasa chafu
4. Ujinga
5. Uvivu
6. Imani potofu
 
Point ni zile zile sema wewe umeziweka kwa kiswahili
 
Kuendelea au kutoendelea kwa mwafrika hakuhusiani na mzungu. Ni viongozi wa afrika tu wanatumiaka hicho kichaka kukwepa uwajibikaji.

Kutoendelea kwa Afrika sababu kuu ni Rushwa na kukosa akili kwa viongozi na wananchi wa Afrika full stop
mfano Moja, kama tatizo la umeme trc ni kuagiza engine za diesel hapo ndiyo ujue mbele Kuna nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…