Sawa chiefKamjibu hivyo shemeji yako
Wengi hawajui hili! We' uliyebahatika kulifahamu, usiwaone wasiojua ni wajinga!Ukute huyu jamaa alibishana Kijiweni mpaka kutaka kupigana kuhusu Nusu Fainali kuwa na Mechi 4
Kwa nchi ambazo zina point ya kuingiza timu nne Uefa champions league;
Top four wanaenda champions league.
Nafasi ya tano na sita wanaenda Europa league
Nafasi ya saba anaenda europa conference league qualifying
Msimu huu ndio wameanzisha hayo mashindano ya mdogo wake europa league
Also I do appreciate his comment.Kwa busara na akili nyingi ulizonazo mkuu bila shaka Mungu atakujalia kheri kila siku ya maisha yako. Ahsante kwa majibu haya,japo mimi sio mleta mada,nilikua pia sijui tofauti kati ya hizo ligi mbili. Tulihitaji tu mwenye kujua asaidie kututoa ujinga, badala yake "much know" wakaanza kuleta shombo kwa mtoa mada. Big up.
Barikiwa sana Mkuu.Kwa nchi ambazo zina point ya kuingiza timu nne Uefa champions league;
Top four wanaenda champions league.
Nafasi ya tano na sita wanaenda Europa league
Nafasi ya saba anaenda europa conference league qualifying
Msimu huu ndio wameanzisha hayo mashindano ya mdogo wake europa league
Na huko wakina Sevilla watapavamia akina westham washindwe kuchukuaLengo ni kuzipa vilabu wanachama wa UEFA wenye rank ya chini, nafasi ya kusonga mbele kimafanikio kutokana na kushindwa kufurukuta kwao kwenye Ligi ya Mabingwa na europa league
Naona Mourinho anataka kujiwekea rekodi ya kocha wa kunyakua kakombe cha walioshindwa ubabe wa ulayaNa huko wakina Sevilla watapavamia akina westham washindwe kuchukua
Naona Mourinho anataka kujiwekea rekodi ya kocha wa kunyakua kakombe cha walioshindwa ubabe wa ulaya
hahahaaaFainali zitaingia Tatu usipoongeza juhudi ya nguvu za macho na ubongo.
hahahahaaaaNa huko wakina Sevilla watapavamia akina westham washindwe kuchukua
hahahaaaaNa kama wewe ni shabiki wa man u basi hiyo conference league utaijua saana .
Maana ndo ya man yuu hii.[emoji16][emoji16]