Kwanini Europa Ligi nusu fainali ina mechi nne badala 2?

Kwa busara na akili nyingi ulizonazo mkuu bila shaka Mungu atakujalia kheri kila siku ya maisha yako. Ahsante kwa majibu haya,japo mimi sio mleta mada,nilikua pia sijui tofauti kati ya hizo ligi mbili. Tulihitaji tu mwenye kujua asaidie kututoa ujinga, badala yake "much know" wakaanza kuleta shombo kwa mtoa mada. Big up.
Kwa nchi ambazo zina point ya kuingiza timu nne Uefa champions league;
Top four wanaenda champions league.
Nafasi ya tano na sita wanaenda Europa league
Nafasi ya saba anaenda europa conference league qualifying

Msimu huu ndio wameanzisha hayo mashindano ya mdogo wake europa league
 
Also I do appreciate his comment.
 
Kwa nchi ambazo zina point ya kuingiza timu nne Uefa champions league;
Top four wanaenda champions league.
Nafasi ya tano na sita wanaenda Europa league
Nafasi ya saba anaenda europa conference league qualifying

Msimu huu ndio wameanzisha hayo mashindano ya mdogo wake europa league
Barikiwa sana Mkuu.
 
Back
Top Bottom