Swali fikirishi...Habari zenu wakuu ππ½ ππ½
Hivi kwann familia zetu nyingi za kitanzania zinaanza upya ktk utafutaji wa mali, kutoka kizazi kimoja hadi kingine ktk utafutaji ?
Hii kitu imekua ikiturudisha nyuma sana ktk utafutaji wa mali hali ambayo inapelekea familia nyingi kuwa masikini sana kizazi hadi kizazi.
Wazazi wanaamini kila mtoto anatakiwa kupambana mwenyewe, yeye jukumu lake ni kukusomesha basi.Habari zenu wakuu ππ½ ππ½
Hivi kwann familia zetu nyingi za kitanzania zinaanza upya ktk utafutaji wa mali, kutoka kizazi kimoja hadi kingine ktk utafutaji ?
Hii kitu imekua ikiturudisha nyuma sana ktk utafutaji wa mali hali ambayo inapelekea familia nyingi kuwa masikini sana kizazi hadi kizazi.
Karibu tena mkuuAhsante
Hii akili ya generation zilizopita zinakuja kuondolewa na generation zinazokuja hapo ndio kutakua na mapinduzi makubwa1. Ubinafsi
2. Ubinafsi
3. Ubinafsi
Unakuta Mzazi anamwambia mtoto urithi wangu kwako ni elimuππ!!.. Mzazi na mtoto wote wanaamini kuajiriwa ni sifa hata Kama analipwa laki 2 kwa mwezi! Generational wealth haiji Kwa kila mtoto kujitegemea! Angalia wahindi wanavyorithisha utajiri kizazi Hadi kizaziπ!
Umerudisha ile avatar ya zamaniAkiba za kibongo zinaoza
Kwangu mie sababu ni kuwa watu wengi wakianzisha biashara wanatumia mfumo wa kuendesha biashara kwa kujikimu..Habari zenu wakuu ππ½ ππ½
Hivi kwann familia zetu nyingi za kitanzania zinaanza upya katika utafutaji wa mali, kutoka kizazi kimoja hadi kingine ktk utafutaji?
Hii kitu imekua ikiturudisha nyuma sana katika utafutaji wa mali hali ambayo inapelekea familia nyingi kuwa masikini sana kizazi hadi kizazi.
View attachment 3192553
umaskini ni mfumo, Utajiri ni mfumo utachagua uishi wapi.Habari zenu wakuu ππ½ ππ½
Hivi kwann familia zetu nyingi za kitanzania zinaanza upya katika utafutaji wa mali, kutoka kizazi kimoja hadi kingine ktk utafutaji?
Hii kitu imekua ikiturudisha nyuma sana katika utafutaji wa mali hali ambayo inapelekea familia nyingi kuwa masikini sana kizazi hadi kizazi.
View attachment 3192553
Nilijua huwezi andika comment iwe na pwenti mwanzo mwishoHii inatokana na familia zetu kuwa na ubinafsi an umimi mwingi...
Kingine ni umaskini tuu ila kwa matajiri hayo mambo hakuna....
Mi nitawekeza katika mishangazi hata wanangu watakulia huko
1.Ubinafsi tu.Habari zenu wakuu ππ½ ππ½