Kwanini familia nyingi za kibongo zinaanza upya ktk utafutaji wa mali?

Kwanini familia nyingi za kibongo zinaanza upya ktk utafutaji wa mali?

Umasikini
Wazazi wetu wengi ni masikini na wanaishi maisha ya kujikimu mkono uende kinywani hivyo wanakua hawana chochote cha kutupa tukiendeleze zaidi ya kijumba kidogo na shamba Dogo la kilimo cha Jembe la mkono


Kukosa maarifa ya kuendeleza mali
Familia zetu nyingi hata kama mzazi kaacha Biashara, tunaoachiwa huwa hatuna maarifa ya kutosha ya kuendeleza na hivyo tunaishia “tugawane kila mtu age na chake”.
 
Back
Top Bottom