Umasikini
Wazazi wetu wengi ni masikini na wanaishi maisha ya kujikimu mkono uende kinywani hivyo wanakua hawana chochote cha kutupa tukiendeleze zaidi ya kijumba kidogo na shamba Dogo la kilimo cha Jembe la mkono
Kukosa maarifa ya kuendeleza mali
Familia zetu nyingi hata kama mzazi kaacha Biashara, tunaoachiwa huwa hatuna maarifa ya kutosha ya kuendeleza na hivyo tunaishia βtugawane kila mtu age na chakeβ.