Kwanini FIFA inawanyima uwana chama Zanzibar na Catalonia

Kwanini FIFA inawanyima uwana chama Zanzibar na Catalonia

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Licha ya Zanzibar (Tanzania) na Catalonia (Uhispania) kuomba sana uwana chama FIFA zimekataliwa kabisa.

Cha kushangaza FIFA imewapa membership Nothern Ireland, Wales, Scotland (UK), Greenland na Faroe Islands (Denmark), Taiwan na Macau (China), New Caledonian, Tahiti (France), Guam, American Samoa, American virgin island, Puerto Rico (USA)

Hiki kitu kinashangaza sana.

adriz de mbusii
 
Back
Top Bottom