Nyalikanho
Member
- Sep 17, 2017
- 61
- 30
Wadau hivi ni kweli asilimia kubwa ya smart tv na deki zetu hizi huwa hazina uwezo wa kusoma flash ya uwezo wa 64gb kwenda juu?
Note: Flash ambazo ni ORIGINAL.
Maana nimetest kuanzia 8gb mpaka 32gb zinasoma ila 64gb,128gb chenga ila kwenye subwoofer mp3 zinasoma.
Mwenye kujua kiundani kuhusu hili wadau?
Note: Flash ambazo ni ORIGINAL.
Maana nimetest kuanzia 8gb mpaka 32gb zinasoma ila 64gb,128gb chenga ila kwenye subwoofer mp3 zinasoma.
Mwenye kujua kiundani kuhusu hili wadau?