Kwanini flash 64gb,128gb + hazisomi kwenye flat TV na deki nyingi?

Mkuu samahan nje ya mada...
Hivi dvd player ya gari ni format gan ya video inakubali.
Maana nikiweka video kwenye flash, video nyingine zinaplay nyingine zinagoma.. Wakati zote huwa nazidownload youtube kwa format moja!
Kwanza YouTube haina mfumo mmoja Kuna av1, vp8, vp9, x264 etc japo unaweza ona zote zinaishiwa na. Mp4 ila codecs zinaweza kuwa tofauti.

Ungepata model ukai Google ingekuwa rahisi kujua.

Ila kuwa safe Jaribu. Mp4 ya x264 ni format ya zamani na ipo almost vifaa vyote vya miaka ya Karibuni.

Ikikataa tumia video editor eka huo mfumo wa DVD, convert ziende DVD eka kwenye flash itaplay I hope.
 
Asante nitajaribu
 
Ndio mwisho wa uwezo wake, kama specification ilikuwa kusoma mpka ya gb32 haiwez soma zaid ya hapo, kila device huwa na limit ya flash au memory card ianyoweza soma, mf simu kitochi uweke memory card ya 1tb
Sorry
Napenda kujua
1Tb memorycard inaweza kusoma vizuri kwenye Samsung A2 core?
 
Wadau hivi ni kweli asilimia kubwa ya smart tv na deki zetu hizi huwa hazina uwezo wa kusoma flash ya uwezo wa 64gb kwenda juu?

Note: Flash ambazo ni ORIGINAL.

Maana nimetest kuanzia 8gb mpaka 32gb zinasoma ila 64gb,128gb chenga ila kwenye subwoofer mp3 zinasoma.

Mwenye kujua kiundani kuhusu hili wadau?
Nyingi sio NTFS (New Technology Filing System)
 
Na mimi nakazia hapa kifaa chochote kinachoingia SD card unaweza ukaweka SD card yoyote hata ya 512GB utalazimika tu kuiformat kwa FAT32.

Sema itapoteza uwezo wa kuweka mafile makubwa, mfano una movie ama game la GB 10 halitaingia, ila mafile madogo madogo kama movies za mb 700 na miziki ya mb kadhaa yataingia vizuri. Kama kumbukumbu ipo sahihi limit ni 4gb.
Uko sahihi lakin flsh ya 1 tb uki format kwa fat32 inapoteza uwezo wake wa kuhifadh vitu vingi na badala yake itahifadh vitu mwixho gb 32 tuh kulingana na fat32 partition limitation
 
Hapana inahifadhi vyote unless iwe feki, kwenye handheld zangu kama Psp huwa natumia sd card kubwa na unaijaza vizuri tu.
 
Nkuba
Hdd mfumo wake ni NTFS, hizi tunazotumia na windows, flash na memory card za kisasa ni Exfat, na flash na memory card za zamani ni FAT32,

Hizo deki na TV za zamani mpaka simu na game console wakati zinatengenezwa Fat 32 na NTFS ndio zilikuwepo, hata windows za zamani ukiformat unaletewa menu ya FAT32 sababu ndio ilikuwepo wakati huo.

Hivyo ili zisome vifaa vya kisasa inabidi hivi vifaa uviformat kwa format za kizamani, mfano hio TV yako inayosoma HDD ya NTFS aki format memory card yake kwa NTFS basi nayo itasoma, ila fat 32 ni safe zaidi ipo hata Enzi zkin

Kwa nojuavyo mim format ya fat32 ina limit ya kuingiza file video au game wixho gb 4 tuuh isizid na kwa ukubwa wa vitu vyote vitakaingia visizid gb 32
Kulingana na maelekezo ya fat32 partition limitation
Na ukitaka ibebe vitu zaid ya uwezo huo bac utalazimika kui format kwa exfat au NTFS
 
Unachoongea ni sahihi sababu kipindi specification za FAT32 zinawekwa 32GB ndio ilikuwa storage kubwa zaidi. Hivyo on paper ni 32GB ila uhalisia hadi 2TB unaweka na FAT32.

Same kwa exFat kipindi inatoka ukisoma simu zake utaona wanaandika up to 64GB ila siku hizi kuna exfat za GB 512 kibao na zinakubali mpaka vifaa vya zamani.
 
Vifaah vya zaman kama dvd player na tv??
 
Kifaa chochote mkuu
 
Mboni mim kila nikijaribu hua inashia gb 32 mwixho nikizidixha hapo zinakua virus sio file tena
Angalia storage yako mkuu, umejaribu kuipima na app inayoonesha ukubwa wake? Kuna storage feki zinasema zina GB nyingi kuliko uhalisia.

Download H2testW halafu run chagua storage yako itajaza mafile na kupima uwezo halisi.
 
Naomba unitumie link ya iyo program kama hutojal bos
 
cheki specs za kifaa format gani zinakubali
Embu check hapa shida nn ndugu
IMG-20221223-WA0005.jpg
IMG-20221223-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom