Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Kwanza YouTube haina mfumo mmoja Kuna av1, vp8, vp9, x264 etc japo unaweza ona zote zinaishiwa na. Mp4 ila codecs zinaweza kuwa tofauti.Mkuu samahan nje ya mada...
Hivi dvd player ya gari ni format gan ya video inakubali.
Maana nikiweka video kwenye flash, video nyingine zinaplay nyingine zinagoma.. Wakati zote huwa nazidownload youtube kwa format moja!
Ungepata model ukai Google ingekuwa rahisi kujua.
Ila kuwa safe Jaribu. Mp4 ya x264 ni format ya zamani na ipo almost vifaa vyote vya miaka ya Karibuni.
Ikikataa tumia video editor eka huo mfumo wa DVD, convert ziende DVD eka kwenye flash itaplay I hope.