Nyalikanho
Member
- Sep 17, 2017
- 61
- 30
ShukraniNdio mwisho wa uwezo wake, kama specification ilikuwa kusoma mpka ya gb32 haiwez soma zaid ya hapo, kila device huwa na limit ya flash au memory card ianyoweza soma, mf simu kitochi uweke memory card ya 1tb
Na mimi nakazia hapa kifaa chochote kinachoingia SD card unaweza ukaweka SD card yoyote hata ya 512GB utalazimika tu kuiformat kwa FAT32.Iformat iwe kweye mfumo wa FAT32
Mbona mimi TV zote nlizowahi kumiliki zinasoma HDD mpaka 1TB sasa iweje ishindwe soka ka flash ka 128gbNdio mwisho wa uwezo wake, kama specification ilikuwa kusoma mpka ya gb32 haiwez soma zaid ya hapo, kila device huwa na limit ya flash au memory card ianyoweza soma, mf simu kitochi uweke memory card ya 1tb
Hdd mfumo wake ni NTFS, hizi tunazotumia na windows, flash na memory card za kisasa ni Exfat, na flash na memory card za zamani ni FAT32,Mbona mimi TV zote nlizowah kumiliki zinasoma HDD mpaka 1TB sasa iweje ishindwe soka ka flash ka 128gb
Unalosema ni kweli niliwahi format hdd yangu kwenye macbook air wakati huo ilikuwa windows 7 mwaka 2015 so niliiformat kwa mfumo wa Exfat, tv ilishibdwa kuisoma ikanibdi niirudshe kwenye NTFSHdd mfumo wake ni NTFS, hizi tunazotumia na windows, flash na memory card za kisasa ni Exfat, na flash na memory card za zamani ni FAT32,
Hizo deki na TV za zamani mpaka simu na game console wakati zinatengenezwa Fat 32 na NTFS ndio zilikuwepo, hata windows za zamani ukiformat unaletewa menu ya FAT32 sababu ndio ilikuwepo wakati huo.
Hivyo ili zisome vifaa vya kisasa inabidi hivi vifaa uviformat kwa format za kizamani, mfano hio TV yako inayosoma HDD ya NTFS aki format memory card yake kwa NTFS basi nayo itasoma, ila fat 32 ni safe zaidi ipo hata Enzi za kina ps2.
Kwa mfumo wa NT File System Mac OS inakuwa readable ila haicopy wala kumodify content ila exFile Allocation Table inacopy bila shida na kusoma pia kwenye WindowsUnalosema ni kweli niliwahi format hdd yangu kwenye macbook air wakati huo ilikuwa windows 7 mwaka 2015 so niliiformat kwa mfumo wa Exfat, tv ilishibdwa kuisoma ikanibdi niirudshe kwenye NTFS
sawa mkuuMleta mada fuata miongozo...
shukraniNa mimi nakazia hapa kifaa chochote kinachoingia SD card unaweza ukaweka SD card yoyote hata ya 512GB utalazimika tu kuiformat kwa FAT32.
Sema itapoteza uwezo wa kuweka mafile makubwa, mfano una movie ama game la GB 10 halitaingia, ila mafile madogo madogo kama movies za mb 700 na miziki ya mb kadhaa yataingia vizuri. Kama kumbukumbu ipo sahihi limit ni 4gb.
Kingine umachopaswa mutambua ni kwamba Bonvo Flash nyingi zimazozidi 16gb ni FekiWadau hivi nikweli asilimia kubwa ya smart tv na deki zetu hizi huwa hazina uwezo wa kusoma flash ya uwezo wa 64gb kwenda juu?
Note: flash ambazo ni ORIGINAL.
mana nimetest kuanzia 8gb mpaka 32gb zinasoma ila 64gb,128gb chenga ila kwenye subwoofer mp3 zinasoma.
Mwenye kujua kiundani kuhusu hili wadau?
Ukiwa na mzigo yaani namaanisha ap ina 9gb flash iwe kwenye format gani??Na mimi nakazia hapa kifaa chochote kinachoingia SD card unaweza ukaweka SD card yoyote hata ya 512GB utalazimika tu kuiformat kwa FAT32.
Sema itapoteza uwezo wa kuweka mafile makubwa, mfano una movie ama game la GB 10 halitaingia, ila mafile madogo madogo kama movies za mb 700 na miziki ya mb kadhaa yataingia vizuri. Kama kumbukumbu ipo sahihi limit ni 4gb.
Exfat ndio mfumo wa kisasa wa flash ina compability nzuri kiasi chake.Ukiwa na mzigo yaani namaanisha ap ina 9gb flash iwe kwenye format gani??
Mkuu samahan nje ya mada...Exfat ndio mfumo wa kisasa wa flash ina compability nzuri kiasi chake.
NTFS pia inafaa ila si vifaa vyote vinakubali.
Aina gani 32gb flash weka hapa kwangu haisomi inaelekea sio zoteWadau hivi nikweli asilimia kubwa ya smart tv na deki zetu hizi huwa hazina uwezo wa kusoma flash ya uwezo wa 64gb kwenda juu?
Note: flash ambazo ni ORIGINAL.
mana nimetest kuanzia 8gb mpaka 32gb zinasoma ila 64gb,128gb chenga ila kwenye subwoofer mp3 zinasoma.
Mwenye kujua kiundani kuhusu hili wadau?
Radio nying za gari zinasoma mp4Mkuu samahan nje ya mada...
Hivi dvd player ya gari ni format gan ya video inakubali.
Maana nikiweka video kwenye flash, video nyingine zinaplay nyingine zinagoma.. Wakati zote huwa nazidownload youtube kwa format moja!