Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuna wakimbizi wapo nchi za ulaya kwa miaka zaidi ya 40 na kuna baadhi wanataka kurudi kisa utawala wa Assad umeishaHili ndio jibu, upokee wakimbizi wa nini na nchi imekombolewa raia wanashangweka nchi nzima?
Kimoyo moyo Kuna wakimbizi hapo wanawalaani waasi kwa kumtimua Assad maana deal la kuingia Ulaya limeota mbawa.
vipi pale kwa victor orban, hungary wao wana msimamo gani kuhusu hawa wakimbizi?Poland huwa hawahangaiki kutangaza. Msimamo wao walishauweka na kuuandika kwa moto kwamba kama nchini kwako kuna vita nenda nchi jirani na nchi yako ambayo haina vita, ukienda kwao hawakupokei.
Watu wanajibu kihisia lakini ulichosema wewe ni jibu sahihi mfano Tanganyika ilipopata uhuru kutoka kwa Uingereza baba yangu alikuwa A.Kusini akifanya kazi kwenye mgodi wa dhahabu makaburu walimtimua kwa kigezo arudi nyumbani kujenga taifa.Hili ndio jibu, upokee wakimbizi wa nini na nchi imekombolewa raia wanashangweka nchi nzima?
Kimoyo moyo Kuna wakimbizi hapo wanawalaani waasi kwa kumtimua Assad maana deal la kuingia Ulaya limeota mbawa.
Ila wao walijazana Kibao bongo. Wakati wa vota ya dunia,, wapolish ni pure Zionists sishangaiPoland huwa hawahangaiki kutangaza. Msimamo wao walishauweka na kuuandika kwa moto kwamba kama nchini kwako kuna vita nenda nchi jirani na nchi yako ambayo haina vita, ukienda kwao hawakupokei.
Hawataki kwenda kwenye nchi zinazodai kufuata imani ya kiislam kwani wengi wa hao wakimbizi ni watu waliochoka na utamaduni wa kale wa kiarabu kwani wanaamini dunia ya leo imebadilika na kwamba utamaduni wa kiarabu ya karne ya saba wanaona haina nafasi katika dunia ya leo iliyostaarabika.Hivi kwanini nchi za kiislam zisijitoe mstari wa mbele kupokea wenzao?
UAE haiwezi kuwapokea?
Kwanini
Hao wapolish walivo disorganised kwenye nchi za watu sijui huko kwao kuko vipi.Poland huwa hawahangaiki kutangaza. Msimamo wao walishauweka na kuuandika kwa moto kwamba kama nchini kwako kuna vita nenda nchi jirani na nchi yako ambayo haina vita, ukienda kwao hawakupokei.
Poland ni among the very bestHao wapolish walivo disorganised kwenye nchi za watu sijui huko kwao kuko vipi.
Wengi nilikutana nao sijawahi waelewa labda huko kwao wapo poaPoland ni among the very best
Inashangaza wanataka kukimbilia nchi za wanaowaita makafiri halafu wakifika huko wanaanza kuwatukana wenyeji wao na kuwaombea vifo, ni waharibifu tuHivi kwanini nchi za kiislam zisijitoe mstari wa mbele kupokea wenzao?
UAE haiwezi kuwapokea?
Kwanini
Kilichokuwa kinawatoa sasa hakipo, warudiWakuu,
Mara baada ya Assad kupinduliwa na kukimbia nchi yake kwenda Urusi huku vikundi vya waasi vikiwa vimechukua mambo yameanza kubadilika kwa wana-Syria duniani kote.
Hivi karibuni nchi nyingi za Ulaya zimetangaza kuacha kupokea wakimbizi kutoka Syria.
Nchi hizo ni pamoja na Germany, France Italy, UK, NetherlandS, Belgium, AustriA, Sweden, Finland, Denmark, Norway, Czechia, Switzerland, Croatia na Greece.
Kwanini nchi hizi zimegoma kupokea wakimbizi kutoka Syria baada ya Assad kukimbia nchi?
View attachment 3173597
Ni wanaogopa Muslim extremists kuingia kwenye nchi zao?
Wanaona hakuna haja ya kupokea wakimbizi kwa sababu Assad ameondoka
Au hii imekaaje?
Unajisumbua dada wazungu pamoja na uislam wao wanawaona nduguzao kuliko wewe Mkristo mwenzao mwafrika.Hivi kwanini nchi za kiislam zisijitoe mstari wa mbele kupokea wenzao?
UAE haiwezi kuwapokea?
Kwanini
Mbona hizo ni nchi za makafiri?Nchi hizo ni pamoja na Germany, France Italy, UK, NetherlandS, Belgium, AustriA, Sweden, Finland, Denmark, Norway, Czechia, Switzerland, Croatia na Greece.
Haswaa..Ni wanaogopa Muslim extremists kuingia kwenye nchi zao?
Sawa,mpokelewe nyie wavaa RohoDhali mkaendeleze kuphilana vizuri m(i&k#undu itanuke kama ndooKuwapokea wavaa kobazi Nchini mwako ni kujikaribishia nyoka ndani kwako
Yaani huwajui wavaa kobazi na vipedo ?Wavaa kobazi ni akina nani?
Mambo hayo wanayowafanyia viongozi wenu wa madrasa ?Sawa,mpokelewe nyie wavaa RohoDhali mkaendeleze kuphilana vizuri m(i&k#undu itanuke kama ndoo