Kwanini France, Italy, Uingereza na nchi nyingine 12 zimetangaza zuio la kupokea wakimbizi kutoka Syria?

Kwanini France, Italy, Uingereza na nchi nyingine 12 zimetangaza zuio la kupokea wakimbizi kutoka Syria?

Hili ndio jibu, upokee wakimbizi wa nini na nchi imekombolewa raia wanashangweka nchi nzima?

Kimoyo moyo Kuna wakimbizi hapo wanawalaani waasi kwa kumtimua Assad maana deal la kuingia Ulaya limeota mbawa.
Kuna wakimbizi wapo nchi za ulaya kwa miaka zaidi ya 40 na kuna baadhi wanataka kurudi kisa utawala wa Assad umeisha
Ila kuna tatizo moja pia je kutakuwa na amani huko Syria?
Kuna vikundi vilivyokuwa vinampinga Assad
Tusubiri tuone nini kitatokea
Austrians wameishakurupuka na kusema wanawarudisha wakimbizi wote kutoka Syria
Ingawa wachambuzi wa mambo ya siasa hapa nilipo wamepinga vikali na kusema it's too early
 
Poland huwa hawahangaiki kutangaza. Msimamo wao walishauweka na kuuandika kwa moto kwamba kama nchini kwako kuna vita nenda nchi jirani na nchi yako ambayo haina vita, ukienda kwao hawakupokei.
vipi pale kwa victor orban, hungary wao wana msimamo gani kuhusu hawa wakimbizi?
 
Hili ndio jibu, upokee wakimbizi wa nini na nchi imekombolewa raia wanashangweka nchi nzima?

Kimoyo moyo Kuna wakimbizi hapo wanawalaani waasi kwa kumtimua Assad maana deal la kuingia Ulaya limeota mbawa.
Watu wanajibu kihisia lakini ulichosema wewe ni jibu sahihi mfano Tanganyika ilipopata uhuru kutoka kwa Uingereza baba yangu alikuwa A.Kusini akifanya kazi kwenye mgodi wa dhahabu makaburu walimtimua kwa kigezo arudi nyumbani kujenga taifa.
 
Poland huwa hawahangaiki kutangaza. Msimamo wao walishauweka na kuuandika kwa moto kwamba kama nchini kwako kuna vita nenda nchi jirani na nchi yako ambayo haina vita, ukienda kwao hawakupokei.
Ila wao walijazana Kibao bongo. Wakati wa vota ya dunia,, wapolish ni pure Zionists sishangai
 
Hivi kwanini nchi za kiislam zisijitoe mstari wa mbele kupokea wenzao?
UAE haiwezi kuwapokea?
Kwanini
Hawataki kwenda kwenye nchi zinazodai kufuata imani ya kiislam kwani wengi wa hao wakimbizi ni watu waliochoka na utamaduni wa kale wa kiarabu kwani wanaamini dunia ya leo imebadilika na kwamba utamaduni wa kiarabu ya karne ya saba wanaona haina nafasi katika dunia ya leo iliyostaarabika.

Ndio maana asilimia 80 ya hao wakimbizi wanapofika kwenye nchi za magharibi huacha kwenda kwenye misikiti na kufuata mfumo wa maisha usio wa kiimani.
 
Poland huwa hawahangaiki kutangaza. Msimamo wao walishauweka na kuuandika kwa moto kwamba kama nchini kwako kuna vita nenda nchi jirani na nchi yako ambayo haina vita, ukienda kwao hawakupokei.
Hao wapolish walivo disorganised kwenye nchi za watu sijui huko kwao kuko vipi.
 
Wakuu,

Mara baada ya Assad kupinduliwa na kukimbia nchi yake kwenda Urusi huku vikundi vya waasi vikiwa vimechukua mambo yameanza kubadilika kwa wana-Syria duniani kote.

Hivi karibuni nchi nyingi za Ulaya zimetangaza kuacha kupokea wakimbizi kutoka Syria.

Nchi hizo ni pamoja na Germany, France Italy, UK, NetherlandS, Belgium, AustriA, Sweden, Finland, Denmark, Norway, Czechia, Switzerland, Croatia na Greece.

Kwanini nchi hizi zimegoma kupokea wakimbizi kutoka Syria baada ya Assad kukimbia nchi?

View attachment 3173597

Ni wanaogopa Muslim extremists kuingia kwenye nchi zao?

Wanaona hakuna haja ya kupokea wakimbizi kwa sababu Assad ameondoka

Au hii imekaaje?
Kilichokuwa kinawatoa sasa hakipo, warudi
 
Hivi kwanini nchi za kiislam zisijitoe mstari wa mbele kupokea wenzao?
UAE haiwezi kuwapokea?
Kwanini
Unajisumbua dada wazungu pamoja na uislam wao wanawaona nduguzao kuliko wewe Mkristo mwenzao mwafrika.
 
Nchi hizo ni pamoja na Germany, France Italy, UK, NetherlandS, Belgium, AustriA, Sweden, Finland, Denmark, Norway, Czechia, Switzerland, Croatia na Greece.
Mbona hizo ni nchi za makafiri?
Kwanini wasiende kwa ndugu zao katika imaan, yaani Yemen, Iran, Afghanistan, Egypt, Somalia, Pakistan, nk
Ni wanaogopa Muslim extremists kuingia kwenye nchi zao?
Haswaa..
Wakienda huko baada ya muda huanza kulazimisha wenyeji wao kufuata sharia za dini ya mudi..

View: https://youtu.be/vy03WwImgGA?si=4nvrNcLAks2GJEzD
 
Itakuwa ni vigumu sana kuzuia WaSyria wanaotafuta hifadhi ya Kikimbizi, kwasababu kibao kimegeuka huko Syria, wale waliokuwa wakiua na kutesa wenzao sasa na wao watakimbilia Ulaya na kuomba hifadhi kwa vigezo kwamba maisha yao yako hatarini.

Na teyari wa kwanza amekuwa ni Assad na Familia yake😆

Wale waliokuwa wakila Wali Kuku sasa ni mwendo wa Ugali Kauzu.😝
 
Hao wakiwa wengi nchini mwako wataanza kuwapangia hadi kitimoto kiliwe wapi…
 
Back
Top Bottom