Kwanini Freeman Mbowe hafungwi pingu kama washtakiwa wenzake? Yeye si ndio kinara, sponsor, na mastermind wa tuhuma zao?

Halafu tusiharibiane, baba yako ujue ananiita bebii
Tatizo alisha dead 1month before nchi haijachagua Kichaa, na alikuwa na kadi yake yakumchinja mtu ili Lowasa awe rais, kwahiyo utawala wa Mwendazake hajauona,
Sawa baby yake baba? [emoji41]
 
Çcm inaongozwa na vichaa watupu, mmoja kafa kwa Corona mwingine bado anazurura angani
 
Shida ni pale unapowasilisha hoja ya Chama kama excuse fulani vile. Mfano unasema, japo mimi ni Chadema lakini hapa chadema imekosea. kwanini usiseme tu hapa Chadema au CCM imekosea bila kutanguliza hiyo excuse

..Nilidhani kuweka wazi chama ninachokiunga mkono ni muhimu ktk hoja yangu.

..Hata hivyo kuna ambao wameona nimekosea, na kuna wengine wameona sijakosea.

..Nakushukuru kwa kushiriki nami ktk mjadala huu, na hoja yako nimeipokea.
 
..Nilidhani kuweka wazi chama ninachokiunga mkono ni muhimu ktk hoja yangu.

..Hata hivyo kuna ambao wameona nimekosea, na kuna wengine wameona sijakosea.

..Nakushukuru kwa kushiriki nami ktk mjadala huu, na hoja yako nimeipokea.
Sawa. Mbele ya safari utakuwa mtu bora wa hoja. Umeonyesha utayari wa kujifunza. Hadi hapo naona unaonyesha kwamba wewe ni Chadema kweli. Utaiva tu mbele ya safari ili ufanane na hadhi ya chama chako. Watu aina ya Lissu, , Kibatala, n.k wewe mwenyewe unawaona walivyo vizuri kichwani. Ndio Chadema yenyewe
 
Daaaaah, [emoji41][emoji41][emoji41]

Mkuu JokaKuu njoo uone compliment uliyopewa, hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…