Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kilivuka salaama mwaka 2019 na hii nikwasababu mbowe hakuwa na mpinzani wake ! Hayo tumeyaona kipindi cha CHACHA WANGWE, NA ZITTO ZUBERI KABWE , tabia hizi za UASAAD ndiyo unakirudisha nyuma chama ,
Mwaka huu sasa amekutana na wajanja wameshamshitukia kila sehemu ni yeye mtoto wa singida tundu lisu