Kwanini Frida Amani yuko underated?

Beat katengeneza slimsal ambaye nayeye ni underrated rapper hapa tz.
Jamaa katengenenza mabeat mazuri s2kizzy anamuibia na switch records
Beat alizoibiwa ni kama
1.Swagiree weusi
2.vmoney mpaka pumzi ya mwisho
Public sympathy haitawafikisha popote apige kaz
 
Ushafeli

Mchomvu anaingiaje hapa??

Hivi mmesoma mpaka level gani ya chekechea?

Title is obvious you want people to know her, evaluate her and promote her

Mara ghafla mchonvu huyu!!!!!!!!!!! Why?
 
Ushafeli

Mchomvu anaingiaje hapa??

Hivi mmesoma mpaka level gani ya chekechea?

Title is obvious you want people to know her, evaluate her and promote her

Mara ghafla mchonvu huyu!!!!!!!!!!! Why?
Umesoma mpaka level gani? Umeambiwa mimi ni promoter au kampuni ya matangazo.. Mimi nimeandika chochote na wala sijaandika vitu official hapa ninaongea chochote kwa style yoyote. Yes Mchomvu kaingia kwasababu naye ni presenter anayeimba ambaye mziki wake haujawahi kufanya vizuri.
Tusipangiane ya kuandika.
 
Mbona rahisi tu kukaa kimya? Au kusema umekosea?

Badili title ionekane sawa na content

Umechemka
 
Mbona rahisi tu kukaa kimya? Au kusema umekosea?

Badili title ionekane sawa na content

Umechemka
Wewe ni mtazamo wako ila nimeandika nilichotaka kuandika.
Siyo kazi yangu kukuelewesha, jukumu langu lilikuwa kuandika kuelewa au kutoelewa kwako hakunihusu.
Uwe na siku njema
 
Wewe ni mtazamo wako ila nimeandika nilichotaka kuandika.
Siyo kazi yangu kukuelewesha, jukumu langu lilikuwa kuandika kuelewa au kutoelewa kwako hakunihusu.
Uwe na siku njema

Haya trump
 
Haya bana, at last nimecheka

Nafaka

Binafsi sio huyo tu

Kuna talents kibao mtaani ambazo sijui why hazisikiki
Hata mimi najua ila nakuzingua tu. Mchomvu ni presenter ninaye mkubari sana uwa namuona yuko real sana na udwanzi wake.
Yah kuna talents nyingi sana mtaani lakini hazisikiki, sijui tatizo uwa ni nini na kuna watu wana damu ya kunguni mfano Ibra nation jamaa anajua na watu wanamfahamu ila hajafika mbali.
Nyimbo anazowaandikia wengine zinafika mbali sana, hata za kwake ukisikiliza unakubari jamaa anajua lakini hata Ruge alishindwa mfkisha kokote
 
Public sympathy haitawafikisha popote apige kaz
Nitajie rapper anayepiga kaz zaid ya slimsal yan anapriduce na kuchanika ile mbaya I'll wait...

kwa taarifa yako hata uyo frida amani beat zake na song zake anatengenezewa na slimsal
 
I think hapo alipo anastahili..bado sana,uwezo mdogo

Na pia ngoma zake zinapigwa sana Clouds,so ukisema anabaniwa sio kweli
 
I think hapo alipo anastahili..bado sana,uwezo mdogo

Na pia ngoma zake zinapigwa sana Clouds,so ukisema anabaniwa sio kweli
Sijasema anabaniwa, ila nilitaka kujua sababu ya kuchukuliwa poa sana maana kuna wasanii mimi naona wa kawaida lakini wanachukuliwa kwa ukubwa sana
 
Sasa kama nimkali / Mbona hit song/ marapper wa Arusha wnaforce sana .hila uwezo mdogo ....pamoja na Sam misago/ Adamu mchomvu + Rosa reee nk
Kwahyo unataka utuaminishe chemical ni mkali kuliko rosa ree?
 
wewe unazingua ufahamu chochote kuhusu mambo ya entertainment.
Hahah dah yani wewe utakua ndo chemical kabisa
Maana kimziki huyo bwana chemical ni dinasour.
Yani nikisikia kuna ngoma mpya ya chemical na hamorapa ntafuatilia ya hamorapa (no pun intended)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…