Kwanini Frida Amani yuko underated?

Kivipi...elezea mkuu
Kwa watu ambao hatujapata majina makubwa ya kuwaaminisha kazi huwa tunakuwa underrated na hao hao wasanii ambao tunaazimia kufanya nao kazi ili tuaminike na industry.
 
For sure she overrated.

Mimi napenda utangazaji wake tu but muziki hawezi afanye kazi yake ya utangazaji atafika mbali zaidi
Yuko OVERRATED sana na sio UNDERRATED hata hapo alipo ameforce sana,analazimisha muziki ila rap haimpendi,ana mistari ya kitoto,flow mbovu ile ya miaka 1997-2000.Ajipange sawa sawa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaweza naipenda ngoma yake ya niwe nawe
 
Huyo dogo n too Gangstar siku moja nlimuona K.koo mtaa wa Swahili pale Yan utazani mwanaume

One love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…