Kwanini Game ya marudiano ya Tony Rashid imefanyika tena Tanzania ?

Bongo Nyoso aisee!! Kweli mcheza kwao hutunzwa!
 
Ili Tony ashinde ushindi wa mchongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila Nitamwambia Huyo Naibu Katibu Mkuu Said Yakubu Huo Ujinga Wauache Kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilishaacha zamani nilipe kingiliio kikubwa halafu mshindi alishaandaliwa Leo nimeamua kutokuangalia kabisa japo Tony namkubali sana.
Kambi ziandae vijana waache janjajanja
 
Tony amenikera sana wakati neshno anthem zinapigwa akawa hana time kabisa yaani.....hawa mabondia wawe wanapewa hata kaelimu kidogo kasiviksi
 
Nilidhani unajifunza uchawi. Ila nilikosea una tatizo kubwa sana la kisaikolojia hasa baada ya m/kiti kuwa mahabusu.
Upweke unakutesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…