Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Japo zimebaki siku 2 tu game hii kupigwa jijini DSM lakini hakuna mzuka wowote mitaani ! huku kwetu Tandika Mwembeyanga mechi kama hizi huchangamsha mitaa hata wiki mbili kabla ya kuchezwa , lakini cha kushangaza safari hii mambo ni kimya kabisa !
Natambua juhudi kubwa sana za media kuhamasisha mchezo huu , lakini matunda yake ni kama hakuna
Kuna nini kinaendelea , wadau wamesusa ?
Natambua juhudi kubwa sana za media kuhamasisha mchezo huu , lakini matunda yake ni kama hakuna
Kuna nini kinaendelea , wadau wamesusa ?