Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Ni la maana ndio maana kamati ipo.Labda useme ulitaka nani ahamasishe?Kama kuhamasisha siyo jambo la maana ni kwa nini wameliundia mpaka kamati?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni la maana ndio maana kamati ipo.Labda useme ulitaka nani ahamasishe?Kama kuhamasisha siyo jambo la maana ni kwa nini wameliundia mpaka kamati?
Kumbe basi sijafika mbali. Muuza kiti moto hawezi kuwa Imamu wa msikiti hata siku moja!Ni la maana ndio maana kamati ipo.Labda useme ulitaka nani ahamasishe?
Wakati Raisi wa Croatia na Raisi wa Ufaransa walipokuwa uwanjani huko Urusi wakizishangilia timu zao kwenye fainali ya kombe la dunia wao pia waliweka siasa?Madhara ya kuweka siasa kila mahala.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Kumbe basi sijafika mbali. Muuza kiti moto hawezi kuwa Imamu wa msikiti hata siku moja!
Wakati Raisi wa Croatia na Raisi wa Ufaransa walipokuwa uwanjani huko Urusi wakizishangilia timu zao kwenye fainali ya kombe la dunia wao pia waliweka siasa?
Subilia usutwe na umati uwanjaniJapo zimebaki siku 2 tu game hii kupigwa jijini DSM lakini hakuna mzuka wowote mitaani ! huku kwetu Tandika Mwembeyanga mechi kama hizi huchangamsha mitaa hata wiki mbili kabla ya kuchezwa , lakini cha kushangaza safari hii mambo ni kimya kabisa !
Natambua juhudi kubwa sana za media kuhamasisha mchezo huu , lakini matunda yake ni kama hakuna
Kuna nini kinaendelea , wadau wamesusa ?
MUNGU wasimamie UGANDA CRANESMadhara ya kuweka siasa kila mahala.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Huenda rais ana majukumu mengine ndio maana waziri mkuu atakuwepo ila kuhusu Makonda huenda ameteuliwa mwenyekiti sababu ana ushawishi mkubwa kwa wanamichezo na wananchi ndani ya mkoa wakeProved hapo tena umeweka swali lenye utata, kwa nini Makonda na si Rais Magufuli ama waziri wa Michezo Mwakyembe?
Tatizo ata tukishinda bado kuna mtu atakesha kwenye media akimpongoza na kumlamba viatu stone age.Hapana mkuu! Omba tushinde na tufuzu Afcon hayo mengine yatafuata baadae.
Mkuu hii mechi ni muhimu sana kwa Tz kuliko huyo mtu maana huyo mtu atapita ila Tz itabaki. Hivyo stars ikishinda ni Ushindi wa Tz hayo mengine ni kachumbari tu kwenye pilau (pilau bila kachumbari bado ni pilau).Tatizo ata tukishinda bado kuna mtu atakesha kwenye media akimpongoza na kumlamba viatu stone age.
Sent using Jamii Forums mobile app