Kwanini game ya Taifa Stars na Uganda imepoteza hamasa mitaani ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Japo zimebaki siku 2 tu game hii kupigwa jijini DSM lakini hakuna mzuka wowote mitaani ! huku kwetu Tandika Mwembeyanga mechi kama hizi huchangamsha mitaa hata wiki mbili kabla ya kuchezwa , lakini cha kushangaza safari hii mambo ni kimya kabisa !

Natambua juhudi kubwa sana za media kuhamasisha mchezo huu , lakini matunda yake ni kama hakuna

Kuna nini kinaendelea , wadau wamesusa ?
 
Siasa za majivuni zimeharibu

Jr[emoji769]
 
Hamu yote ilinishia baada ya kuona sura ya Bashite.
 
Umeenda mbali Sana! huo mfano unaonyesha umelikuza Sana hili jambo kupitiliza maana kama Makonda angekua ameteuliwa kuwa kocha hapo huo mfano ungefaa ila kuhamasisha tu huo mfano hauenei vizuri
Kama kuhamasisha siyo jambo la maana ni kwa nini wameliundia mpaka kamati?
 
Madhara ya kuweka siasa kila mahala.

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…