Kwanini game ya Taifa Stars na Uganda imepoteza hamasa mitaani ?

Madhara ya kuweka siasa kila mahala.

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Wakati Raisi wa Croatia na Raisi wa Ufaransa walipokuwa uwanjani huko Urusi wakizishangilia timu zao kwenye fainali ya kombe la dunia wao pia waliweka siasa?
 
Albert Daudi Bashizo ndo tatzo tena kubwa😂😂😂
 
Subilia usutwe na umati uwanjani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Proved hapo tena umeweka swali lenye utata, kwa nini Makonda na si Rais Magufuli ama waziri wa Michezo Mwakyembe?
 
Proved hapo tena umeweka swali lenye utata, kwa nini Makonda na si Rais Magufuli ama waziri wa Michezo Mwakyembe?
Huenda rais ana majukumu mengine ndio maana waziri mkuu atakuwepo ila kuhusu Makonda huenda ameteuliwa mwenyekiti sababu ana ushawishi mkubwa kwa wanamichezo na wananchi ndani ya mkoa wake
 
Tatizo ata tukishinda bado kuna mtu atakesha kwenye media akimpongoza na kumlamba viatu stone age.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii mechi ni muhimu sana kwa Tz kuliko huyo mtu maana huyo mtu atapita ila Tz itabaki. Hivyo stars ikishinda ni Ushindi wa Tz hayo mengine ni kachumbari tu kwenye pilau (pilau bila kachumbari bado ni pilau).
 
Kuna matatizo kadhaa hayajakaa vizuri

1. Kocha wa timu, hajui kupanga kikosi na wala si mhamasishaji mzuri
2. Kamati imejaa watu wasio ujua mpira bali wenye umaarufu tu, na Mwnykt siye kabisa
3. Hamasa ingekuwa kubwa kama pia wachezaji wenyewe na makocha wangehusika pia kuhamasisha
4. Matokeo ya game iliyopita yalikera mno, na kuna uwezekano Lesotho watafuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…