Garage za kisasa nyingi ni safi sanaHabari wakuu wa JF,
Nimeona niandike uzi huu pengine kuna namna wahusika watarekebisha mazingira yao ya kazi kwa wateja.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali kwanini garage nyingi ni chafu sijawahi kupata majibu. Yaani unaweza kupeleka gari inaugonjwa mmoja ikatoka na ugonjwa mwingine. Unakuta fundi ni mzuri sanaa ila yupo garage chafu kweli kweli vumbi kila kona.
Hii ni sawa na kwenda hospitali kutibu Malaria then unatoka na kipindupindu kutokana na mazingira machafu ya hospitali.
Wenye hizi garage tujirekebisheš¤§
Njoo geto nikushone.GUEST BUBU
Ni mara nyingi nikienda sipendezwi na mazingira.umeenda ila au?
unatumia gari Gani ambayo ukienda gereji chafu inabeba ugonjwa?
niugonjwa Gani huo mkuu?
ok ingekua ni ford ranger au range ningekualika ofisini nikutengenezeeNi mara nyingi nikienda sipendezwi na mazingira.
Ila hivi karibuni nilipata ajali nikaacha jamaa wanyooshe gari na kupiga rangi nilipoenda kufata nakuta rangi ya gari ya nje ipo baadhi ya maeneo ya ndani.
Wametumia maji ya wipers yote na kioo cha mbele kimetoka na mikwaruzo hii ni Subaru Forester mkuu.
Na vyoo haviingilikiHabari wakuu wa JF,