Kwanini Garage nyingi ni CHAFU?

Kwanini Garage nyingi ni CHAFU?

Habari wakuu wa JF,
Nimeona niandike uzi huu pengine kuna namna wahusika watarekebisha mazingira yao ya kazi kwa wateja.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali kwanini garage nyingi ni chafu sijawahi kupata majibu. Yaani unaweza kupeleka gari inaugonjwa mmoja ikatoka na ugonjwa mwingine. Unakuta fundi ni mzuri sanaa ila yupo garage chafu kweli kweli vumbi kila kona.

Hii ni sawa na kwenda hospitali kutibu Malaria then unatoka na kipindupindu kutokana na mazingira machafu ya hospitali.

Wenye hizi garage tujirekebishe🤧
Garage za uswazi hizo..na za wachina
 
Garage za uswazi hizo..na za wachina
Nimejikuta nafikiria kupata recommended ambazo zina fundi wazuri na ni safi katika standards kwa categories za magari ili wadau wapate urahisi; Ila nadhani tutakuwa tunawapa promo za bure au unaonaje mkuu.
 
Back
Top Bottom