Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Kwa hiyo madalali ndio wanataka kumpiga sister.Unauza vizuri Tu kama body yake haikupata ajali
Hata mimi naona hivyoKwa hiyo madalali ndio wanataka kumpiga sister.
Haina ajali, ilipauka kwenye bonet , roof na bokookt. Ndio nikapiga rangiof,Unauza vizuri Tu kama body yake haikupata ajali
Ukiwa na haraka ya kuuza gari utaambiwa kila Aina ya nenoKwa hiyo madalali ndio wanataka kumpiga sister.
Mara nyingi watu wanapiga rangi cheap. Unakuta mtu anataka kuuza gari ila ina scratches all over, basi anapiga rangi cheap then anaiweka sokoni. Ukinunua hii baada ya miezi kadhaa rangi inababuka.Ndugu, kwanini gari ikirudiwa rangi inasumbua sana kuuzika? Gari haina ajali yeyote, haigongi chini, haina weird noises kwenye engine, interior iko safi kabisa, lakini haitoki sababu tu nimeirudia rangi?
Weka picha tuone hiyo rangi ilipigwaje kwanza. Isije ikawa ulipeleka kwa fundi maiko akajaza maputiNdugu, kwanini gari ikirudiwa rangi inasumbua sana kuuzika? Gari haina ajali yeyote, haigongi chini, haina weird noises kwenye engine, interior iko safi kabisa, lakini haitoki sababu tu nimeirudia rangi?
Ndugu, kwanini gari ikirudiwa rangi inasumbua sana kuuzika? Gari haina ajali yeyote, haigongi chini, haina weird noises kwenye engine, interior iko safi kabisa, lakini haitoki sababu tu nimeirudia rangi?
Kapake rangi sehem sahihiNdugu, kwanini gari ikirudiwa rangi inasumbua sana kuuzika? Gari haina ajali yeyote, haigongi chini, haina weird noises kwenye engine, interior iko safi kabisa, lakini haitoki sababu tu nimeirudia rangi?
Mara nyingi watu wanapiga rangi cheap. Unakuta mtu anataka kuuza gari ila ina scratches all over, basi anapiga rangi cheap then anaiweka sokoni. Ukinunua hii baada ya miezi kadhaa rangi inababuka.
Hata mimi sinunui gari iliorudiwa rangi afadhali ninunue nikapige rangi mwenyewe.
BTW si watu wengi wana uwezo wa kujua gari iliorudiwa rangi.
Personally, sipendi gari iwe imepauka. Inakuwa na muonekano mbayaKwanini uipige rangi ??, Unaficha nini kwa kuipiga rangi??, mbona vitu vingine hujavikarabati isipokuwa rangi tu??-- hayo ni miongini mwa maswali mteja anaweza kujiuliza.
Ujui ni gari gani na unaka kutoa pesa. Du. Hamna mnunuzi wa aina yako dunianiNi gari gani? Niuzie mimi nakupa m3