Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo kupiga rangi gari yako ni dhambi sio?na nikibadilisha tairi je?Kwanini uipige rangi ??, Unaficha nini kwa kuipiga rangi??, mbona vitu vingine hujavikarabati isipokuwa rangi tu??-- hayo ni miongini mwa maswali mteja anaweza kujiuliza.
kwa hiyo kupiga rangi gari yako ni dhambi sio?na nikibadilisha tairi je?
@RRONDO amepotea sana jukwaani kulikoni?Mara nyingi watu wanapiga rangi cheap. Unakuta mtu anataka kuuza gari ila ina scratches all over, basi anapiga rangi cheap then anaiweka sokoni. Ukinunua hii baada ya miezi kadhaa rangi inababuka.
Hata mimi sinunui gari iliorudiwa rangi afadhali ninunue nikapige rangi mwenyewe.
BTW si watu wengi wana uwezo wa kujua gari iliorudiwa rangi.
Mimi ilipata ajali.
Ilibiduka juu chini.
Nimepiga rangi garage bubu chini ya mwembe na nikaiuza siku moja.
Nadhani inategemea na aina ya gari na demand yake sokoni.
Kuna magari ni open cheque.
Shida ni dalaliNdugu, kwanini gari ikirudiwa rangi inasumbua sana kuuzika? Gari haina ajali yeyote, haigongi chini, haina weird noises kwenye engine, interior iko safi kabisa, lakini haitoki sababu tu nimeirudia rangi?
Nami nataka kujua ivi Rav 4 ShortChases mtu akinunua baadae akataka kuiuza Wateja wake wanapatkana kweli??Ndugu, kwanini gari ikirudiwa rangi inasumbua sana kuuzika? Gari haina ajali yeyote, haigongi chini, haina weird noises kwenye engine, interior iko safi kabisa, lakini haitoki sababu tu nimeirudia rangi?
Hellow ,,gari yako unayouza ni aina gan dada?H
Ujui ni gari gani na unaka kutoa pesa. Du. Hamna mnunuzi wa aina yako duniani
Nilisha iuza zamaniHellow ,,gari yako unayouza ni aina gan dada?
Alinunua JF member na hajawahi kujutaHellow ,,gari yako unayouza ni aina gan dada?
Nice to hearAlinunua JF member na hajawahi kujuta
Kupata wateja wa short chases ni kipengele kwa kweliNami nataka kujua ivi Rav 4 ShortChases mtu akinunua baadae akataka kuiuza Wateja wake wanapatkana kweli??
Kwa kupiga rangi gari au body repair ntafute nkupe chimbo la uhakika utakuja nishukuru bei mchekeaNdugu, kwanini gari ikirudiwa rangi inasumbua sana kuuzika? Gari haina ajali yeyote, haigongi chini, haina weird noises kwenye engine, interior iko safi kabisa, lakini haitoki sababu tu nimeirudia rangi?
Asante sanaKwa kupiga rangi gari au body repair ntafute nkupe chimbo la uhakika utakuja nishukuru bei mchekea