Kwanini gari yako ikiwa imepigwa rangi mara ya pili inakuwa ngumu kuuzika?

Kwanini uipige rangi ??, Unaficha nini kwa kuipiga rangi??, mbona vitu vingine hujavikarabati isipokuwa rangi tu??-- hayo ni miongini mwa maswali mteja anaweza kujiuliza.
kwa hiyo kupiga rangi gari yako ni dhambi sio?na nikibadilisha tairi je?
 
@RRONDO amepotea sana jukwaani kulikoni?
 
Mimi ilipata ajali.
Ilibiduka juu chini.
Nimepiga rangi garage bubu chini ya mwembe na nikaiuza siku moja.
Nadhani inategemea na aina ya gari na demand yake sokoni.
Kuna magari ni open cheque.
 
IST na premio hata urudie mara 100 itatoka siku moja[emoji28]
 
Ndugu, kwanini gari ikirudiwa rangi inasumbua sana kuuzika? Gari haina ajali yeyote, haigongi chini, haina weird noises kwenye engine, interior iko safi kabisa, lakini haitoki sababu tu nimeirudia rangi?
Shida ni dalali
 
Nami nataka kujua ivi Rav 4 ShortChases mtu akinunua baadae akataka kuiuza Wateja wake wanapatkana kweli??
 
Ndugu, kwanini gari ikirudiwa rangi inasumbua sana kuuzika? Gari haina ajali yeyote, haigongi chini, haina weird noises kwenye engine, interior iko safi kabisa, lakini haitoki sababu tu nimeirudia rangi?
Kwa kupiga rangi gari au body repair ntafute nkupe chimbo la uhakika utakuja nishukuru bei mchekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…