Gari za wananchi kwa kulipia Kodi,Kuku ni wako manati ya nini?
Kwa mshahara upi utoshe kununua V8?Ile ya Mkurugenzi sio Gari ya Serikali bali Ni gari yake binafsi
Watu wanafanya Business nje ya shirika mzee, Afu The Late Gissima Amekuwa Serikalini kwa muda mrefu sanaKwa mshahara upi utoshe kununua V8?
Kumbe!Watu wanafanya Business nje ya shirika mzee, Afu The Late Gissima Amekuwa Serikalini kwa muda mrefu sana
Ndio ivo mzee Gari ya MD wa Tanesco ya serikali ni Nissan V8 hio aliyopata nayo Ajali MD ni Gari yake Binafsi LC 300Kumbe!
Unajua marupurupu yaliyopo TANESCO wewe?Kwa mshahara upi utoshe kununua V8?
Unaijua 600 ml?Unajua marupurupu yaliyopo TANESCO wewe?
Aisee we jamaa,usiangaliage MISHAHARA ya watumishi,angalia MENGINEYO.
Yaani huyo mkurugenzi yupo juu ya wale ma procurement and suppliers officers wa TANESCO nchi nzuma,unajua ukwasi wao hao tu,je yeye?Unaijua 600 ml?
Andika taratibu, Mkurunzi ni nini?Hello!
Yaani gari inanunuliwa Hadi 600 ml kwa Kodi za wananchi maskini, lakini haikatiwi Bima kubwa,
Kuna mtu anayejua sababu ni Nini hasa?
Au ni vile vya umma havina mwenyewe?
RIP mkurunzi Tannesco!
Karibuni 🙏
T385EHM imetajwaNdiyo maana imenyofolewa namba baada ya ajali na haitajwi kwenye taarifa zote.
ZX gari ya kifalme kabisa (in dotto magari's voice)Ndio ivo mzee Gari ya MD wa Tanesco ya serikali ni Nissan V8 hio aliyopata nayo Ajali MD ni Gari yake Binafsi LC 300
Kumbe! Basi niko nyuma ya muda.T385EHM imetajwa
Swali ambalo bado tunajiuliza Afande amesema dereva wa mkurugenzi alikuwa anakwepa mwendesha baiskeli. Sasa ni nani aliyemuona mpanda baiskeli hiyo saa saba usiku? Mwendesha baiskeli usiku alikuwa barabarani!!!Kumbe! Basi niko nyuma ya muda.