Kwanini gazeti la Jamhuri limesitisha uchapishwaji? Let us speculate intelligently

Kwanini gazeti la Jamhuri limesitisha uchapishwaji? Let us speculate intelligently

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
To me, nahisi by 99% ni ile interview ya Warioba.

Why? Manyerere aliyemhoji Warioba ni News reporter wa Jamhuri media. Ile interview ulikuwa mwiba mkali sana kwa serikali na matendo yake ya 29 October 2025, maana it was TRUTH TRUTH TRUTH DEEP IN THE BONES of which watawala hawataki kusikia!

Kwahiyo si ukosefu wa fedha kama tangazo lao linavyosema!

By the same token, JF tutatumia VPN milelel. Maxence Melo please do the needful
downloadfile-2.png
 
Balile ni Msanii tu hana Lolote....Analeta FUTUHI....Hana Deni la aina yeyote amesitisha kwasababu anawatumikia WAHUNI.
Uko sahihi mno mno. Huyu ni zaidi ya mbwa kwenye kutumikia mabwana zake. Inaonekana ile interview iliwaudhi mabwana zake, wakaamua kumpa adhabu. Retired spot on. Hii ndiyo hatari ya kuunga mkono uhalifu na wahalifu. Hujui ni lini watakugeukia. Usishangae kusikia ''amepata ajali'' au watu wasiojulikana wamefanya yao. Shetani hana urafiki wa kudumu.
 
Yaani anazingua sana Balile ,kweli masikini hana kiapo ,tangia alambishwe asali amekuwa ZERO BRAIN.
 
Back
Top Bottom