Uko sahihi mno mno. Huyu ni zaidi ya mbwa kwenye kutumikia mabwana zake. Inaonekana ile interview iliwaudhi mabwana zake, wakaamua kumpa adhabu.
Retired spot on. Hii ndiyo hatari ya kuunga mkono uhalifu na wahalifu. Hujui ni lini watakugeukia. Usishangae kusikia ''amepata ajali'' au watu wasiojulikana wamefanya yao. Shetani hana urafiki wa kudumu.