Mkuu wapi ulimkuta GENTAMYCINE anasurubishwa mpaka anatingisha matako??Basi wewe ni mweupe sana kichwani ndo maana kila anchoongea ni kipya kwako halaf vingi tu anaongeaga mashudu..hujawahi kukuta anasulubiwa mpaka anatingisha tingisha matako huko?
kunauzi mmoja alianzisha kuhusu Dodoma nafikiri? Au ndo umekuja na ID jingine?Mkuu wapi ulimkuta GENTAMYCINE anasurubishwa mpaka anatingisha matako??
Nadhan kwasababu kumsumbua mwenzio ni tabia ya kike, so wanaume wanakuwa hawataki kufanya hiyo tabiaGENTAMYCINE
Huyu jamaa huwa anaserereka na kutiririka vidonge/vichambo vilivyo tukuka kwa ufundi na ustadi wa hali ya juu kama ‘MOSSAD’ hali inayofanya kuwa salama dhidi ya ban!!
Haya na nyinyi mserereke na kutiririka kwa nini humjawahi mchokoza??
Hana lolote huyo.. mnamuogopea bure tu.. mngekuwa mnamsoma tangu enzi anajidai yeye ni fulani mara fulani hadi kuishia kujiweka kama mbabe mngejua ni hana lolote bali vijineno na alikuwa muongooo sana anajiweka ana maisha fulani siku ingine anaandika mengine.. eeeeeh
Burudani kusoma ya JF