Kwanini gentamycin namuogopa kumjibu vibaya?

Kwanini gentamycin namuogopa kumjibu vibaya?

Mimi bibafsi namkubali jamaa na kumuweka kwenye kundi la GT, matusi anayo kama tu wew pia ukija kihivyo. Mimi nimeshamkosoa sana tu kwenye nyuzi zake au michango yake lakini huwa ananijibu kistaraabu kwa kuwa pia ukosoaji wangu huwa wa kistaarabu. Jamaa yuko vizuri hata kama humpendi.
Over
 
KT hakuna upuuzi kama huu, nadhani Bongo tunaongoza kwa kuitumia mitandao kwa umbeya na kuongelea vitu ambavyo siyo basic.

Hii topic ni mfano wake.
 
GENTAMYCINE

Huyu jamaa huwa anaserereka na kutiririka vidonge/vichambo vilivyo tukuka kwa ufundi na ustadi wa hali ya juu kama ‘MOSSAD’ hali inayofanya kuwa salama dhidi ya ban!!


Haya na nyinyi mserereke na kutiririka kwa nini humjawahi mchokoza??
Umekuja Kujipa Promo na ID Nyingine sio!
 
Huyu jamaa GENTAMYCINE ni Muha wa Kigoma ametokea maeneo ya Kakonko alikuwa anaishi kwenye kambi za wakimbizi sijui dar alifikaje huyu jamaa...

CV yake kwa ufupi ni MNAFIKI kiwango cha juu kabisa kuwahi kurekodiwa..

Wenye more Info watakuja kujazia nyama kuhusu huyu jamaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anajua Kujipendekeza
 
Back
Top Bottom