Kwanini gentamycin namuogopa kumjibu vibaya?

Mwanaume hana muda wa kuchambana na mwanaume mwenzie, tunagonga like kwenye like tunatia point tunajadili critically, MEN THINKS..WOMEN TALKS, choose your side carefully then mtafute gentamynini sijui mkachambane
Haha mkuu agiza safari ndogo nakuja kulipa
 
Basi wewe ni mweupe sana kichwani ndo maana kila anchoongea ni kipya kwako halaf vingi tu anaongeaga mashudu..hujawahi kukuta anasulubiwa mpaka anatingisha tingisha matako huko?
Hahaaaa
 
Aissee "" hahaha "" genta amelelewa "" ikulu wewe ""!!!! !?? ....
 
Huu uzi utajaa matusi sasa hivi maana moderator siku hizi wanaacha watu wanatukana..ni upuuzi kutukana kila mtu.. Maxence Melo kwanini mnaacha watu wanajinasibu wanajua kutukana na wanatukana watu hovyo tunaelelekea wapi..? Na moderator wanaacha wanatukana
 
Coz anaweza kuwasererekea hadi wakakimbia kompyuta zao
haha hahaha ....ila sio poa aiseee ifike mahali tuwe tuna vumiliana"" sidhani "" kama genta " amekuwa kikwazo "" cha watu Humu ndani "" sio fresh aiseee... kila siku genta anasemwa "" Humu " inaumiza mnoooo"" kumsema sema bila sababu zenye tija "" ifike mahala tuwe na roho zenye utu

GENTAMYCINE "" pole sana mkuu""
 
Mkuu naona umekuja na id nyingine
By the way unajitahidi kuji brand kuanzia huku mpaka JamiiForums.com
 
Mkuu hao moderators wenyewe hawatuwezi!! Nasikia kitufe cha ban kilipotea......
 
Dah ID yako nyingine hii wewe jamaa aisee
 
Uzi wa kimamamama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…