mjanjamimi
Member
- Nov 26, 2010
- 87
- 7
na sisi tunaomalizana kwenye vichaka na majumba mabovu unatuweka kwenye kundi gani!
bwanuweeeeeeeeeeee........miaka hiyoooooooooNa sisi tunaomalizana kwenye vichaka na majumba mabovu unatuweka kwenye kundi gani!
Kisha mnajua kuwa hata mwanamke awe na chenji kiasi gani lakini asipopewa vijizawadi na mkaka huwa ana mind? Atasema sio kama ni materialist lakini ni a romantic. Kisha mwanamke huyu huyu ukampeleke kwako hakuna dari, nyumba ya kupanga chumba kimoja? Lazima akukimbie kwa ghafla 😀