Kuna siku nilikuwa napita mitaa karibu na anakoishi mdogo wangu (mwanaume) ambaye ni single.. Nikaona nimpe hi kama atakuwepo.. Wakati najipitisha kwenye korido kama kawaida nyumba za uswahilini nikapishana na wadada watu wa makamo kiasi wamekaa tu. Nikawapa salamu then nikawa naelekea kwenye chumba anakoishi mdogo wangu! Kitendo cha kuwapita tu waliangua kicheko huku wakinongona !!!
Nilishangaa ikabidi nisimame kidogo,, kabla sijauliza kulikoni mdada akaniambia "samahani dada mwenzio yupo ndani usijekutujazia watu hapa kama ilivyokuwa jana.. " Ikabisi niwasogelee wadada ili wanipe story zaidi... Kabla hawajaendelea akatoka msichana (ninamfahamu kama g'friend wa mdogo wangu na kunisalimia .. "Za saa hizi wifi" nadhani alisikia either maneno au makelele tu akaamua kuangalia ni nini ndo akakutana na mimi...
Baadaye nilimpigia simu mdogo wangu nikamshauri kwanza ahame nyumba kwa kuwa tayari ana sifa chafu sana halafu aache mara moja tabia ya kuleta kila rafiki wa kike hm kwake...
Conclusion: Sio vema kumpeleka msichana hm ambaye hujakuwa na uhakika na mahusiano yenu just mnataka kungono tu?? Unajishushia hadhi mbele ya jamii inayokuzunguka na pia unamshushia hadhi huyo unayempeleka ingawa atakuwa anajijua yeye ndo wa kwanza kumbe kuna msururu..