Kwanini gesti?

Kwanini gesti?

Kuna siku nilikuwa napita mitaa karibu na anakoishi mdogo wangu (mwanaume) ambaye ni single.. Nikaona nimpe hi kama atakuwepo.. Wakati najipitisha kwenye korido kama kawaida nyumba za uswahilini nikapishana na wadada watu wa makamo kiasi wamekaa tu. Nikawapa salamu then nikawa naelekea kwenye chumba anakoishi mdogo wangu! Kitendo cha kuwapita tu waliangua kicheko huku wakinongona !!!

Nilishangaa ikabidi nisimame kidogo,, kabla sijauliza kulikoni mdada akaniambia "samahani dada mwenzio yupo ndani usijekutujazia watu hapa kama ilivyokuwa jana.. " Ikabisi niwasogelee wadada ili wanipe story zaidi... Kabla hawajaendelea akatoka msichana (ninamfahamu kama g'friend wa mdogo wangu na kunisalimia .. "Za saa hizi wifi" nadhani alisikia either maneno au makelele tu akaamua kuangalia ni nini ndo akakutana na mimi...

Baadaye nilimpigia simu mdogo wangu nikamshauri kwanza ahame nyumba kwa kuwa tayari ana sifa chafu sana halafu aache mara moja tabia ya kuleta kila rafiki wa kike hm kwake...

Conclusion: Sio vema kumpeleka msichana hm ambaye hujakuwa na uhakika na mahusiano yenu just mnataka kungono tu?? Unajishushia hadhi mbele ya jamii inayokuzunguka na pia unamshushia hadhi huyo unayempeleka ingawa atakuwa anajijua yeye ndo wa kwanza kumbe kuna msururu..
 
Mara nyingi inakuwa, dada ukimkaribisha kwako mara kaacha kufuli, kesho kaacha nguo zingine za ndani, viatu....., ndo maana jemba lazima akiamua ndio huyu, anatoa uhuru wa kukupata ndani, hata kama hayuko!!
 
Kwenye hoja yako kuna ukweli kiasi fulani, though sio kila mwanamume anaempeleka g/f wake guest house kamdharau.... kuna factors nyingi zinazopelekea wawili hao kukutana huko na sio nyumbani.....
 
Kwani vikiacha boxer kuna shida gani, au we Maty u hate zem baksaz
Hahahahaaaaaaa lol hebu msikie huyu hapa chini. Na sisi tunaogopa msiache baksaz zenu kwi kwi kwi JF bana
Mara nyingi inakuwa, dada ukimkaribisha kwako mara kaacha kufuli, kesho kaacha nguo zingine za ndani, viatu....., ndo maana jemba lazima akiamua ndio huyu, anatoa uhuru wa kukupata ndani, hata kama hayuko!!
 
We Clorokwini nasikiaga kuna kunguni na viroboto sijui ni kweli.
Njoo huku!!
michelle akiona hiyo nyekundu lazima ataripoti abyuzi. unajua michelle ananimind kichizi lakini mimi nampotezea tu.
 
Dah kwa hiyo sie tunaitataji special treatment! Lol

Duh kumbe ndo maana utaona vichaa na omba omba wanavitoto vingi, na wababa wawatoto ni wale wenye heshima zao ila gest zao ni vichaka na nyumba ambazo hazijaisha. Are u among them? Ooh god.
 
Hapo kweli Mkuu! Siku tulikuwa tunaweka Aluminium windows, kwenye nyumba yetu upanga, nikatoa offer kwa wife ya kwenda kulala hotelini kkoo (executive room 55,000/= per night!! ...jibu nililopata ...mimi kwenye vihoteli vya kariakoo hunilazi? Nikapiga mahesabu ya kimpisnki USD 200/= nikaamua tulale tu nyumbani...ingawa kulikuwa na vumbi kibao!!
Kweli wife anaelimu na kipato kikubwa
 
Hii ishu bana sometime ni bora ukalale huko guest au hotel, nina rafiki yangu mwanaume kabla ya kuoa alikuwa anawapeleka girlfriend zake wote home kwake na alikuwa anabadilisha wanawake hatar! wadada wa watu saa ingine wanajikuta wawili wamepaki gari zao nje yaani hatari.Ukimjia juu huyo kaka anasema anachagua mke. Pamoja na kufumaniana huko hakuna aliyeacha kwenda jaman wadada wa watu wasomi na wana maisha yao ila kila mtu anataka hapohapo. sasa hapo ukipelekwa home utajiona special kweli?
 
VoR yani nikae nikisubiria mpaka uzitafute wakati mi nataka leo?Kesho ntavaa nini kuwaringishia mashoga zangu?Poda ya kujipara ntapata wapi?Acha mchezo wewe...wa pesa zikiisha au akigundua hamna anapotea!Nna rafiki aliyeolewa kwa pesa..mambo yalipomwendea mwenzake vibaya akakimbia mpaka mtoto akamuacha...sembuse mimi ambae sina kinachotuunanisha?

unataka kuwafundisha nini wanawake wenzako?
 
Nimeona malalamiko na matukio kibao yanayotokea nyumba za wageni yakiletwa humu!Wengine utawagundua ni maInfii kwahiyo hawawezi kupelekana nyumbani ila wengine ni mabachela!Sasa kwa hawa walio single kwanini hua wanapelekana gesti na sio kwenye makazi yao?Jinsi mtu anavyo-value uhusiano inachangia...au ndo inaonyesha kwamba hamna uhusiano pale wala heshima kwa kiasi fulani?Binafsi hua nafikiria mwanaume mpaka akupeleke gesti anakua amekudharau sana!Embu kakaz mtuambie...ni kwanini?

Inategemea na mtu lkn mimi ratiba yangu na GF wangu ni hii

1. X2 kwa mwaka tunameet ktk hotel ya hadhi ya nyota 3
( maramoja dar mara nyingine Arusha, Mwanza, Mbeya, NK)

2. X4 tunakutana Guest (lodge) zenye hadhi kama ya 30,000-50,000 za hapa town DAR.

3. X8 tunameet kwangu home

hii ndio routine kwa mwaka.
 
Nimeona malalamiko na matukio kibao yanayotokea nyumba za wageni yakiletwa humu!Wengine utawagundua ni maInfii kwahiyo hawawezi kupelekana nyumbani ila wengine ni mabachela!Sasa kwa hawa walio single kwanini hua wanapelekana gesti na sio kwenye makazi yao?Jinsi mtu anavyo-value uhusiano inachangia...au ndo inaonyesha kwamba hamna uhusiano pale wala heshima kwa kiasi fulani?Binafsi hua nafikiria mwanaume mpaka akupeleke gesti anakua amekudharau sana!Embu kakaz mtuambie...ni kwanini?
Nikuogopa kuweka Basemaana utadai upewe ufunguo wako!!Hivyo kuepuka hayo yote nalazimika kukupeleka Guest mpaka hapo tutakapokuwa tumeweka mikakati siyo vuuuubin vuuuuu unataka uje kwangu!!No!hivyo tutakutana kwenye simu nakufanya mipango yote !!Na baadae kwenda huko nyumba ya kulala wageni!!
 
Na hiyo mikakati haiwezi kufanyika nje ya gesti ehh?
 
Nimeona malalamiko na matukio kibao yanayotokea nyumba za wageni yakiletwa humu!Wengine utawagundua ni maInfii kwahiyo hawawezi kupelekana nyumbani ila wengine ni mabachela!Sasa kwa hawa walio single kwanini hua wanapelekana gesti na sio kwenye makazi yao?Jinsi mtu anavyo-value uhusiano inachangia...au ndo inaonyesha kwamba hamna uhusiano pale wala heshima kwa kiasi fulani?Binafsi hua nafikiria mwanaume mpaka akupeleke gesti anakua amekudharau sana!Embu kakaz mtuambie...ni kwanini?

Guest kuna uhuru bana unaweza piga hata mayowe.

Home ukiingia tu na mlupu watoto wanakimbilia dirishani kula chabo
 
Guest kuna uhuru bana unaweza piga hata mayowe.

Home ukiingia tu na mlupu watoto wanakimbilia dirishani kula chabo
Hivi mlupo ni wapi hao?Ni wifey material?
 
Back
Top Bottom