VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Maybe its just convinience, chochote ambacho kipo karibu na ni muafaka kwa wakati huo, Nice Hotel (kubadilisha mazingira), kwa msichana (kumtembelea na kuenjoy dinner, kulala siku au weekend nzima, n.k.), Kwa mwanaume (kumtembelea na kuenjoy dinner, kulala siku au weekend nzima n.k.), Nearest Nyumba Guest House (Labda nyumbani mama mwenye nyumba ana matatizo na baada ya kunywa moja moto moja baridi kwenda nyumbani ni mbali).
Nadhani hizo zinaweza zikawa ni sababu, Pia kwa wanawake na wanaume labda wengine wanaogopa mwenzao asije akahamia kabisa au akaomba duplicate key 🙂
Nadhani nimecover all angles
Nadhani hizo zinaweza zikawa ni sababu, Pia kwa wanawake na wanaume labda wengine wanaogopa mwenzao asije akahamia kabisa au akaomba duplicate key 🙂
Nadhani nimecover all angles