VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Subirini tu leo nitawatafuta kwa udi na uvumba usije ukakimbia michelle lakiniUtakimbia wewe na Rev Masanilo.....nitahakikisha hamlali na JF hamuonekani wiki nzima.....jana kidogo nipate maximun satisfaction wolves walipofunga Man U....ila ile sare inaniuma sana.....leo nafikiri nitafika juu ya mlima......lol:laugh::laugh::laugh:
Business wise it is a good thing!Relationship-wise not so much labda kama ni mara moja moja au mnachezeana tu kwahiyo anapokaa hustahili/hufai kufika!Sasa kukupata wewe si ndo special ocassion yake au?
Kuna wanaoamua kusherehekea hiyo special ocassion kwa kukupeleka Kempinsky na kuna wenye kutumia uwezo wao na kukufikisha Guest. 🙂
Besides the business is good for the economy
Not necessarily ila inawezekana sitakua na maana sana kwako ndo maana unaona sistahili kufika kwako!
Subirini tu leo nitawatafuta kwa udi na uvumba usije ukakimbia michelle lakini
Na sisi tunaomalizana kwenye vichaka na majumba mabovu unatuweka kwenye kundi gani!
Lizzy may be cjakusoma vizuri hapa unamanisha kupelekwa kempisky cku ya kwanza au kila mnapokutana?Not necessarily ila inawezekana sitakua na maana sana kwako ndo maana unaona sistahili kufika kwako!
Sasa hapa ndo nataka nijue...ina maana kupelekwa guest tu inaweza kua definition ya uhusiano wenu sio?Siku hizi kuna aina tofauti za mahusiano jamani
Yapo mahusiano ya watu kufanya mapenzi tu
Yapo mahusiano ya watu kwenda kujirusha beach, club n.k tu
Kwahiyo sio lazima kila kitu mpaka mpelekane majumbani mwenu
Business wise it is a good thing!Relationship-wise not so much labda kama ni mara moja moja au mnachezeana tu kwahiyo anapokaa hustahili/hufai kufika!
Sorry pale nilikua namaanisha MichelleWapi tena?Mi hata timu sina...hua nasupport ya anayeangalia nikiwepo!
Sio kwamba naogopa usione maisha yangu duni, kwahiyo naogopa kwamba you are too good for me na hustahili kufika kwangu ?
Nimeona malalamiko na matukio kibao yanayotokea nyumba za wageni yakiletwa humu!Wengine utawagundua ni maInfii kwahiyo hawawezi kupelekana nyumbani ila wengine ni mabachela!Sasa kwa hawa walio single kwanini hua wanapelekana gesti na sio kwenye makazi yao?Jinsi mtu anavyo-value uhusiano inachangia...au ndo inaonyesha kwamba hamna uhusiano pale wala heshima kwa kiasi fulani?Binafsi hua nafikiria mwanaume mpaka akupeleke gesti anakua amekudharau sana!Embu kakaz mtuambie...ni kwanini?
Sasa hapa kama unaona i'm out of your league kwanini uwe na mimi?Kujiamini muhimu bwana..mtu akikukubali akukubali wewe kama mtu na sio kwa kitu!